Kati ya Ronaldo na Messi nani mkali?
Kati ya Ronaldo na Messi nani mkali?

Lionel Messi ameendelea kuandika historia kwa herufi kubwa baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi muhimu dhidi ya Austria. Licha ya kukosa penalti mapema, nahodha huyo alionyesha utulivu na ubora wake kwa kufunga mabao mawili yaliyohakikisha timu yake inaondoka na pointi zote. Uchezaji wake umeendelea kuthibitisha kwa nini wengi humchukulia kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kutokea duniani. Mafanikio hayo yameongeza uzito kwenye mjadala wa muda mrefu kati yake na Cristiano Ronaldo. Wakati Ronaldo akisifiwa kwa uwezo wake wa kufunga na kudumu kileleni kwa miaka mingi, Messi anaendelea kuvunja rekodi na kuacha alama kubwa zaidi katika michuano mikubwa. Je, ushindi huu na rekodi anazoendelea kuweka zinatosha kumfanya awe juu ya mpinzani wake wa muda mrefu? Mwandishi wa BBC @kenanivictorna taarifa zaidi πŸŽ₯: @frankmavura #bbcswahili #fypγ‚·γ‚šviral #tanzaniantiktokπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #kenyantiktokπŸ‡°πŸ‡ͺ #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Mwakinyo Alivyopigwa na Michel Soro 11/06/2026
Mwakinyo Alivyopigwa na Michel Soro 11/06/2026

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo leo Juni 11, 2026 amepanda ulingoni Abidjan Nchini Ivory Coast kuwania mkanda wa IBO katika pambano la round 12 dhidi ya Bondia Michel Soro raia wa Ivory Coast na Ufaransa. Mwakinyo katika pambano hilo la round 12 la uzito wa middleweight, amepoteza kwa kupigwa kwa TKO round ya 9 na kufanya pambano hilo kuwa pambano lake la tatu kuwahi kupoteza kwa KO. Hili linakuwa pambano la 4 kwa Hassan Mwakinyo, Moja akipigwa kwa point na matatu kwa KO. Michel Soro leo amepigana pambano lake la 45, amefanikiwa kushinda kwa KO kwa mara ya 28, akipoteza mara 4 na ametoka sare mara 2.



SHOMBO ZA HASSAN MWAKINYO AKIPIMA UZITO,AMTAMBIA MPINZANI UMEKUJA MWENYEWE KIPIGO LAZIMA..
SHOMBO ZA HASSAN MWAKINYO AKIPIMA UZITO,AMTAMBIA MPINZANI UMEKUJA MWENYEWE KIPIGO LAZIMA..

BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII πŸ‘‰ https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?ref_id=pmtv USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz



YANGA WANA UZITO MKUBWA KULIKO SIMBA| YANGA ASINGECHEZA NA SIMBA HADI APUNGUZE UZITO
YANGA WANA UZITO MKUBWA KULIKO SIMBA| YANGA ASINGECHEZA NA SIMBA HADI APUNGUZE UZITO

https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπŸ“Ί AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM πŸ“» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI πŸ“» | 104.1 DODOMA πŸ“» | 94.5 ARUSHA πŸ“» | 97.3 MBEYA πŸ“» | 94.9 MWANZA πŸ“» | SHINYANGA 106.3 πŸ“» | KIGOMA 101.7 πŸ“» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2021 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm



MANDONGA: KAONEKA ANISHUKURU NIMEMTOA UCHOCHORONI, SAFARI HII ATAPIGWA MTU KAMA NGOMA 03/09/2022
MANDONGA: KAONEKA ANISHUKURU NIMEMTOA UCHOCHORONI, SAFARI HII ATAPIGWA MTU KAMA NGOMA 03/09/2022

Bondia mwenye tambo nyingi Karim Mandonga anyepigana uzito wa super middle weight (76KG) baada ya kupoteza pambano dhidi ya Shaban Kaoneka mjini Songea kwa TKO round ya 4.



Mwakinyo afunguka baada ya kuvuliwa mkanda wa ABU, ajibizana na shabiki
Mwakinyo afunguka baada ya kuvuliwa mkanda wa ABU, ajibizana na shabiki

Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amevuliwa mkanda aliokuwa anaushikilia wa Africa Boxing Union (ABU) wa ubingwa wa uzito wa super-welterweight. Hatua hiyo imekuja baada kupokinywa mkanda wake mwingine wa ubingwa wa Intercontinental wa World Boxing Federation (WBF) miezi kadhaa iliyopita.



HIGHLIGHTS | Ubingwa wa UBO | Twaha Kiduku Vs Alex Kabangu
HIGHLIGHTS | Ubingwa wa UBO | Twaha Kiduku Vs Alex Kabangu

Hivi ndivyo shughuli ya raundi nane ya kuwania mkanda wa UBO uzito wa Super Middle ilivyoenda na hatimaye Mtanzania #TwahaKiduku kuibuka mshindi kwa pointi. #VitasaNight #Vitasa #UsikuWaVitasa #TwahaKidukuVsAlexKabangu #TwahaKiduku #TwahaKiduku #MfalmeKwenyeUfalmeWake #NgumiNguruka




Next »


Popular Tags

#Chicago Bulls  #New York Knicks  #Shot Goals  #Russell Westbrook  #Football Defensive Skills  #Best Champions League  #Best Football Defending Skills  #Stephen Curry  #Franck Ribery  #Best Goals Ever  

Popular Users

#MikePereira  #IAmJericho  #WWE  #TheCUTCH22  #rioferdy5  #SrBachchan  #rihanna  #BadgerMBB  #BizNasty2point0  #THNRyanKennedy  #instagram  #TheNotoriousMMA  #normmacdonald