Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Magoli | Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2026
Magoli | Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2026

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu, wakichapwa 3-2 na Dodoma Jiji, mchezo, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida. Magoli ya Yanga yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 41, huku magoli ya Dodoma Jiji yakitoka kwa Bakari Mwamnyeto aliyejifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta David dakika ya 90 na Wazir Junior Shemtembo dakika za nyongeza. Haya hapa magoli yote..

TRA United 4-1 Azam FC | Magoli | NBC Premier League - 08/05/2026
TRA United 4-1 Azam FC | Magoli | NBC Premier League - 08/05/2026

#NBCPL: Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati TRA United dhidi ya Azam FC. FT: TRA United 4-1 Azam FC Magoli ya TRA United yamefungwa na Ally Ng'azi, Ammy Mapaka na Ramadhan Salum 'Chobwedo' Goli la Azam FC limefungwa na Jephte Kitambala Bola. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TRAUnitedvsAzamFC #TRAUnited #AzamFC #TRAUnitedAzamFC

Yanga SC 0-0 Simba SC | HIghlights | NBC Premier League 01/03/2026
Yanga SC 0-0 Simba SC | HIghlights | NBC Premier League 01/03/2026

KARIAKOO DERBY | Imepigwa dabi moja ya maana sana kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar, Yanga na Simba wakimaliza dakika 90 bila bao, lakini burudani za kutosha. Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania

Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026
Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026

Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Wafungaji wa magoli haya ni Mohamed Hussein Zimbwe Jr,, Aurellio Depu, Mudathir Yahya, Prince Dube na Shekhan Ibrahim.

Kuwait 4-3 Tanzania | Highlights | Mechi ya Kirafiki 15/11/2025
Kuwait 4-3 Tanzania | Highlights | Mechi ya Kirafiki 15/11/2025

Ni mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA iliyopigwa kwenye Dimba la Al Salaam, Cairo nchini Misri, na timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars kuchwa 4-3 na Kuwait. Magoli ya Tanzania yamefungwa na M’mombwa 6’, 87’, na Taryin Allarakhia 34’ huku ya Kuwait yakitoka kwa Daham 46’, 52’ Nasser 63’ na Hamdan 69’

KIPYENGA CHA MWISHO 18/09/2025 | Uhalali wa goli la Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii 2025
KIPYENGA CHA MWISHO 18/09/2025 | Uhalali wa goli la Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii 2025

KARIAKOO DEEBY | Fahamu ukweli kuhusu matukio yote yaliyozua utata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba uliopigwa Septemba 16, 2025. Moja kati ya matukio yaliyozua gumzo ni goli pekee walilofunga Yanga na kuamua mshindi wa Ngao ya Jamii 2025. Osman Kazi na jopo lake wanamaliza utata kwa kutumia sheria na kanuni za soka

Wadi Degla 0-2 Simba SC | Kocha Fadlu ataka Jayruty wafanye unyama, Kibu D afunguka
Wadi Degla 0-2 Simba SC | Kocha Fadlu ataka Jayruty wafanye unyama, Kibu D afunguka

KUTOKA CAIRO MISRI: " ....msimu huu tunahitaji kuwapiku Yanga" Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wadi Degla FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo, Kocha wa Simba, Fadlu davids anaeleza baadhi ya mambo ambayo ameridhika nayo, na maeneo ambayo bado ana kazi ya kufanya.... Kuhusu kikosi chake, Kocha Fadlu anasema bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa #NBCPremierLeague msimu ujao wakilenga kuwa juu ya Yanga ... Fadlu anasema anaamini mdhamini wao upande wa jezi, 'Jayruty', atalimaliza hilo.... Naye mfungaji wa moja kati ya magoli mawili ya Simba, Kibu Denis anazungumza machache kuhusu maendeleo ya kambi nchini Misri.... Patrick Nyembera anakuja na taarifa kamli kuhusu mchezo huo... #SimbaSC #SimbaEgypt #SimbaPreSeason

Rayon Sports 1-3 Yanga SC | Highlights | Mechi ya Kirafiki | Rayon Sports Day 15/08/2025
Rayon Sports 1-3 Yanga SC | Highlights | Mechi ya Kirafiki | Rayon Sports Day 15/08/2025

Yanga SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rayon Sports, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la Amahoro, jijini Kigali, Rwanda. Mchezo huo uliokuwa hitimisho la Siku ya Rayon Sports #RayonSportsDay , umeshuhudia wenyeji wakitangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Aziz Andambwile. Yanga walicharuka na kupiga mabao matatu kupitia kwa Andy Boyeli, Pacome Zouzoua, na Bakari Mwamnyeto.

Highlights

Maximo asema Brazil, Argentina ni mahasimu ndani ya uwanja
Maximo asema Brazil, Argentina ni mahasimu ndani ya uwanja

KMC vs SINGIDA BS: Kocha Marcio Maximo wa KMC, amesema mataifa ya Argentina na Brazil ni wapinzani ndani ya uwanja, ...

Mashabiki DR Congo, Guinea ni urafiki tu baada ya mechi ya robo fainali AFCON
Mashabiki DR Congo, Guinea ni urafiki tu baada ya mechi ya robo fainali AFCON

Soka sio uadui, tazama mashabiki hawa wa DR Congo na Guinea wakicheza muziki baada ya mchezo wao kumalizika.

Neno la Fiston Mayele baada ya DR Congo kuifunga Guinea robo fainali AFCON 2023
Neno la Fiston Mayele baada ya DR Congo kuifunga Guinea robo fainali AFCON 2023

"Mwaka jana nilikosa ubingwa wa Shirikisho, nadhani ni wakati ambao na mimi naweza kuchukua ubingwa wa AFCON” maneno ...

Yanga SC yatembelea kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda
Yanga SC yatembelea kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda

Kikosi cha Yanga leo kimezuru kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari eneo la Gisozi hapa Kigali kabla ya kwenda kupata chakula ...

Kikosi cha Yanga chaanza safari kwenda Dar
Kikosi cha Yanga chaanza safari kwenda Dar

Tazama msafara wa Yanga SC ukiwa Uwanja wa Ndege wa Kigali nchini Rwanda tayari kurejea Tanzania kuendelea na ...

Highlights | Coastal Union 1-0 Singida FG | Mechi ya kirafiki - 07/08/2023
Highlights | Coastal Union 1-0 Singida FG | Mechi ya kirafiki - 07/08/2023

MechiYaKirafiki: Tazama mambo yalivyokuwa kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Coastal Union dhidi ya Singida Fountain Gate ...

Magoli makali ya Simba 2-0 Power Dynamos | Mechi ya Kirafiki | Simba Day - 06/08/2023
Magoli makali ya Simba 2-0 Power Dynamos | Mechi ya Kirafiki | Simba Day - 06/08/2023

Haya hapa magoli makali ya Simba SC wakiichapa Power Dynamos ya Zambia kwenye mchezo wa kirafiki, magoli hayo ...

SINGIDA BIG DAY | Utambulisho wachezaji wote wa Singida Fountain Gate - 02/08/2023
SINGIDA BIG DAY | Utambulisho wachezaji wote wa Singida Fountain Gate - 02/08/2023

Tazama utambulisho wa wachezaji wote watakaotumika na Singida Fountain Gate msimu wa 2023/24. Mbali na kikosi, Singida ...

Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports