Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2025 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐ ๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
#yangasc #yangatv #yangaleo #azamsports #mpenjatv #manaratv #mavalatv #ayomatv #scopemedia #spotikaonlinetv #Utvtanzania #battletv #Dafraonolinetv #kariakooderby #alikamwe #Maximumtv #M15tv #wasafi #wasafimedia #PmtvTanzania #Richmedia #CAFAwards #tetesizausajiliyanga #viralvideo #tetesizausajilisimba #mazoeziyayanga #yangatv #yangaleo #yanga #simba #simbaleo #simbatv #football #viralshorts #battletv #datasportstv #mbwaduke #yangascmedia #tanfootball #pecomezouzou #Wolfssportnews #Afcon2023 #tv3tanzania #millardayo #S500tv #uhondotv #mashwishwitv #diamonds #salamba
#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yangaโ Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani๐ข๐ก rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Tourรฉ ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Tourรฉ alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Tourรฉ anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. ๐จ๐ฎ 1. Diarra Djigui ๐จ๐ฎ 2. Kouassi Yao ๐จ๐ฎ 3. Boka Shadrack ๐จ๐ฒ 4. Max Nzengeli ๐ฐ๐ช 5. Duke Abuya ๐บ๐ฌ 6. Allan Okello ๐ณ๐ฆ 7. Peter Shalulile ๐ซ๐ท 8. Ibrahima Tourรฉ ๐ฟ๐ฒ 9. Albert Kangwanda ๐จ๐ฌ 10. Fred Ngoma ๐ฐ๐ฒ 11. Housseine Zakouani ๐ฆ๐ด 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao
๐ด#Live: JANGWANI HAPATOSHI USIKU HUU - MAPOKEZI YA PETER SHALULIE NI BALAA... ============================================================= โซ๏ธ JE, NA WEWE UNA HABARI? โซ๏ธ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) โซ๏ธ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com โซ๏ธ OUR PLAYLISTS: โซ๏ธ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO โซ๏ธ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua โซ๏ธ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio โซ๏ธ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews โซ๏ธ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ โซ๏ธ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: โซ๏ธ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 โซ๏ธ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Facebook: https://www.facebook.com/EARadio/ Twitter: https://twitter.com/earadiofm WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb14gwqDuMRecwGCR90q Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - https://www.instagram.com/crownfmtz/ Crown TV - https://www.instagram.com/crowntvtz/ Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: https://twitter.com/CrownMediaTZ CROWN MEDIA ENGLISH: https://twitter.com/CrownMediaEN Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?id=61556920898213&sk=followers TIKTOK: - https://www.tiktok.com/@crownmedialive?lang=en SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: https://www.youtube.com/channel/UCWHlCJN-WTamGWp4E6ZrhsA
kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐๐ ยฉ2025 ๐พ๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐ ๐๐. ๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ . #wasafi #wasafitv #wasafifm