IBRAHIM CLASS v ISRAEL KAMMWAMBA: Tazama shughuli ilivyomalizika mapema tu raundi ya pili….Ibra Class Mawe akiibuka na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake Israel Kammwamba kutoka Malawi 'kurusha taulo' Tangaaaaaa....! #KaaKwaKutulia Na hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu, katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga katika Usiku wa Vitasa Nyumbani ni Nyumbani. #KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga
Tazama pambano lote Eric Katompa kutoka DR Congo akimshinda kwa mara nyingine bondia Mtanzania, Dullah Mbabe kwenye pambano lililofanyika jijini Arusha. Ushindi wa Katompa ni kutokana na uamuzi wa majaji wote watatu.
Tazama pambano lote kati ya Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku dhidi ya Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini. Wellem amemshinda Twaha Kiduku kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.
VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino. Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako... #KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight
MANDONGA VS ALIBABA: Ni Vitasa Night Arusha, Karim Mandonga akimpiga Alibaba Tarimo kwa pointi, pambano la raundi nne. Tazama jinsi ngumi ya Pelesu Pelesu ilivyofanya kazi kutoka kwa Karim Mandonga Mtu Kazi. Ni pambano la utangulizi katika Usiku wa Mabingwa (#DisciplineNight ) pambano kuu likiwa ni Mfaume Mfaume vs Idd Pialali. Hapa ni AICC Arusha. #Vitasa #VitasaArusha #AchaInyeshe #VitasaNight #Vitasa #UsikuWaMabingwa #AchaInyeshee #Pelesupelesu
HIGHLIGHTS | #TwahaVsKhaled Shudia Twaha Kiduku alivyopambana na Abdo Khaled, pambano la raundi kumi kuwania mikanda miwili ya UBO. #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitasaMtwara #VitasaNgumiJiwe #Boxing #ImeishaHiyo #UbabeUbabe2 #MzigoUmeshukaKilo #AbdoKhaled #TwahaKiduku
HIGHLIGHT | #KidundaVsKatompa HIvi ndivyo ilivyokuwa shughuli ya Selemani Kidunda 'Mtu M Bad' alipotawazwa bingwa mpya wa mabara, Mkanda wa WBF, super middle Weight. #PayBackNight #UsikuWaKisasi #KikiSongea #VitasaSongea #KatompaSongea #KidundaSongea #KidundaVsKatompa #Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa
Hivi ndivyo shughuli ya raundi nane ya kuwania mkanda wa UBO uzito wa Super Middle ilivyoenda na hatimaye Mtanzania #TwahaKiduku kuibuka mshindi kwa pointi. #VitasaNight #Vitasa #UsikuWaVitasa #TwahaKidukuVsAlexKabangu #TwahaKiduku #TwahaKiduku #MfalmeKwenyeUfalmeWake #NgumiNguruka