Content removal request!


Mwakinyo afunguka baada ya kuvuliwa mkanda wa ABU, ajibizana na shabiki

Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amevuliwa mkanda aliokuwa anaushikilia wa Africa Boxing Union (ABU) wa ubingwa wa uzito wa super-welterweight. Hatua hiyo imekuja baada kupokinywa mkanda wake mwingine wa ubingwa wa Intercontinental wa World Boxing Federation (WBF) miezi kadhaa iliyopita.