#Yangasc #GaboroneUnited #CAF Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2026/27, ambapo wawakilishi wa Tanzania wamepata wapinzani wao. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC itakutana na Mighty Wanderers ya Malawi katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6, 2026 na kumalizia nyumbani kati ya Septemba 11-13. Yanga SC nayo imepangwa kucheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana, huku ikianza ugenini na kumalizia nyumbani katika tarehe hizo. Endapo Yanga SC itafuzu hatua hiyo, itakutana na mshindi kati ya CFFA ya Madagascar na Lijabatho FC ya Lesotho katika raundi ya pili ya awali kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa Simba SC, itahitaji kuvuka kikwazo cha Mighty Wanderers ili kuendelea na safari ya kusaka nafasi ya kucheza hatua ya makundi. Katika Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC ambayo imeanzia moja kwa moja raundi ya pili ya awali, itakutana na mshindi wa mchezo kati ya ASAS Djibouti TΓ©lΓ©com ya Djibouti na ZED FC ya Misri. Nayo Singida Black Stars imepangwa kucheza dhidi ya Al Ghazala SC Wau ya Sudan Kusini katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6 na kurudiana nyumbani Septemba 11-13, 2026.
Ni mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA iliyopigwa kwenye Dimba la Al Salaam, Cairo nchini Misri, na timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars kuchwa 4-3 na Kuwait. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Mβmombwa 6β, 87β, na Taryin Allarakhia 34β huku ya Kuwait yakitoka kwa Daham 46β, 52β Nasser 63β na Hamdan 69β
KUTOKA CAIRO MISRI: " ....msimu huu tunahitaji kuwapiku Yanga" Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wadi Degla FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo, Kocha wa Simba, Fadlu davids anaeleza baadhi ya mambo ambayo ameridhika nayo, na maeneo ambayo bado ana kazi ya kufanya.... Kuhusu kikosi chake, Kocha Fadlu anasema bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa #NBCPremierLeague msimu ujao wakilenga kuwa juu ya Yanga ... Fadlu anasema anaamini mdhamini wao upande wa jezi, 'Jayruty', atalimaliza hilo.... Naye mfungaji wa moja kati ya magoli mawili ya Simba, Kibu Denis anazungumza machache kuhusu maendeleo ya kambi nchini Misri.... Patrick Nyembera anakuja na taarifa kamli kuhusu mchezo huo... #SimbaSC #SimbaEgypt #SimbaPreSeason
#SimbaSC #golilampanzu #golilakibudenisi #WadiDegla #SimbaVsWadiDegla #MechiYaKirafiki #FriendlyMatch #SimbaSportsClub #EgyptFriendly #CAFFootball #SimbaVsEgypt #FootballAfrica #SimbaInEgypt #SimbaVsWadiDegla #SimbaBingwa #WadiDeglaSC #SimbaDayPreparation #SimbaSC #WadiDegla #SimbaVsWadiDegla #MechiYaKirafiki #FriendlyMatch #SimbaInEgypt #SimbaAfrica #WadiDeglaSC #SimbaSportsClub #KlabuBingwa #FootballAfrica #CAFRepresentatives #SimbaDayPreparation #EgyptFriendly #SimbaVsWadiDegla2025
#SimbaVsAlZulfi #golilaahouamisrileo #ahoua #SimbaSC #WekunduWaMsimbazi #NguvuMoja #AlZulfiFC #SaudiTanzaniaClash #ClubFriendly #SimbaDay #EastMeetsMiddleEast #SimbaMnyama #NguvuYaSimba #LigiBilaShida #FootballUnites #GameDay #MchezoWaKihistoria #WeAreSimba #ZulfiPower #SimbaVsZulfi2025 #TanzaniaVsSaudi #SimbaNation#FootballFamily #InternationalFriendly
Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ πͺππππππππ Β©2025 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp