Eminem Atetea Mike Tyson Baada ya Kupigwa na Jake Paul: "Huyu Ni Gwiji wa Ukweli! #shortsfeed
Eminem Atetea Mike Tyson Baada ya Kupigwa na Jake Paul: "Huyu Ni Gwiji wa Ukweli! #shortsfeed

Katika video hii, tunazungumzia pambano la kihistoria kati ya bondia maarufu Mike Tyson na kijana Jake Paul. Pamoja na kukosolewa sana kwa kushindwa, rapa mashuhuri Eminem ameonyesha msimamo wake wa kumpongeza Mike Tyson kwa ujasiri na mafanikio yake. Je, unadhani Tyson alifanya uamuzi sahihi kupambana kwa ajili ya pesa, au hili limeathiri urithi wake kama gwiji wa ndondi? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment. #eminem #miketyson #jakepaul #celebritynews #shortsfeed #boxing #shorts



Mike Tyson Amtahadharisha Mwanawe: 'Huoni Maisha Magumu ya Ndondi! #shortsfeed
Mike Tyson Amtahadharisha Mwanawe: 'Huoni Maisha Magumu ya Ndondi! #shortsfeed

Mtoto wa bondia maarufu Mike Tyson alimwambia baba yake kwamba anatamani kuwa mpiganaji kama yeye, lakini majibu ya Tyson yalikuwa ya kushangaza sana. Katika video hii, tunaangazia mazungumzo hayo ya kipekee ambapo Tyson anamshauri mwanawe juu ya changamoto za kuwa bondia na jinsi maisha yake ya magumu yalivyomfanya awe na nguvu za kustahimili. Tyson anafafanua sababu anayotaka mwanawe asijihusishe na mchezo wa ngumi, huku akisema alifanya yote kwa ajili ya kumuwekea maisha bora. Je, unadhani Tyson alifanya maamuzi sahihi kumzuia mwanawe kuwa bondia? Au angemuacha afuate nyayo zake? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment. #miketyson #celebritynews #lifestyle #shortsfeed #shorts



PAMBANO ZIMA: Hassan Mwakinyo alivyomtwanga Jose Carlos Paz - Usiku wa Vitasa 13/11/2020
PAMBANO ZIMA: Hassan Mwakinyo alivyomtwanga Jose Carlos Paz - Usiku wa Vitasa 13/11/2020

MWAKINYO VS PAZ: Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ametetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welter Weight baada ya kumtwanga Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne. Ndondi hizi zimepigwa kwenye ukumbi wa #NextDoorArena usiku wa Novemba 13, 2020 chini ya utayarishaji wa Jackson Group Fight na kuruka LIVE #AzamSports2HD #HassanMwakinyo #JoseCarlosPaz #VitasaNight Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mwakinyo Vs Kayembe: Raundi ya 12
Mwakinyo Vs Kayembe: Raundi ya 12

Burudani ya raundi ya 12 katika pambano la ubingwa wa ndondi wa WFB Intercontinental Super Welter kati ya Hassan Mwakinyo na Tshibangu Kayembe. #Vitasa2020MlimaniCity #MwakinyoKayembe Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz





Popular Tags

#Kevin Durant  #Russell Westbrook  #Lionel Messi  #David Silva  #Shaquille O'Neal  #Paul George  #Derrick Rose  #Chicago Bulls  #Ronaldinho  #Cristiano Ronaldo  

Popular Users

#obj  #realDonaldTrump  #Drake  #BizNasty2point0  #Joey7Barton  #BringerOfRain20  #fauxpelini  #steveaustinBSR  #floydmayweather  #espn  #THNRyanKennedy  #elonmusk  #JohnCena  #wizkhalifa