MWAKINYO AFUNGUKA ALIVYOKUTANA NA CRAWFORD NCHINI MAREKANI "NILICHEZA NAE SPARINGI" #hassanmwakinyo #boxing #boxinghighlights #boxingnewsnow
Full Fight: Айк Шахназаров vs Имсаил Галиатано #boxingnewsnow #boxinghighlights #boxing
Kwa TKO raundi ya sita, Mada Maugo amemkalisha Karim Mandonga.
IBRAHIM CLASS v ISRAEL KAMMWAMBA: Tazama shughuli ilivyomalizika mapema tu raundi ya pili….Ibra Class Mawe akiibuka na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake Israel Kammwamba kutoka Malawi 'kurusha taulo' Tangaaaaaa....! #KaaKwaKutulia Na hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu, katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga katika Usiku wa Vitasa Nyumbani ni Nyumbani. #KaaKwaKutulia #NyumbaniNiNyumbani #VitasaTanga
Tazama pambano lote kati ya Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku dhidi ya Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini. Wellem amemshinda Twaha Kiduku kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.
VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino. Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako... #KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight
IBRA CLASS vs ALAN PINA: Hili hapa pambano zima kati ya Mtanzania Ibrahim Class dhidi ya Allan Pina raia wa Mexico, likimalizika kwa Ibra Class kupata ushindi wa KO raundi ya tisa... pambano likiwa ni la raundi kumi. Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.