KAMWE AKWEPA KUMZUNGUMZIA AZIZ KI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema hakuna timu Afrika ambayo haipendi kuwa na mchezaji mwenye daraja la Stephane Aziz Ki, japo amekwepa kuzungumzia kwa undani tetesi zinazomhusisha kurejea mitaa ya Jangwani. Kamwe pia amesema kuna mchezaji walimpandisha thamani makusudi ili watu walipe hela nyingi. Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz #YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐍𝐄𝐖𝐒 :🕊️ R I P JAYDEN ADAMS ( 25 ) 😢Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. 🗣️🙆 Ripoti zinasema Jayden Adams aliingia bafuni Kwake, akafunga mlango na kujinyonga. SAUTI @farhankiham KAMFOLOW INSTAGRAM
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Lionel Messi ameendelea kuandika historia kwa herufi kubwa baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi muhimu dhidi ya Austria. Licha ya kukosa penalti mapema, nahodha huyo alionyesha utulivu na ubora wake kwa kufunga mabao mawili yaliyohakikisha timu yake inaondoka na pointi zote. Uchezaji wake umeendelea kuthibitisha kwa nini wengi humchukulia kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kutokea duniani. Mafanikio hayo yameongeza uzito kwenye mjadala wa muda mrefu kati yake na Cristiano Ronaldo. Wakati Ronaldo akisifiwa kwa uwezo wake wa kufunga na kudumu kileleni kwa miaka mingi, Messi anaendelea kuvunja rekodi na kuacha alama kubwa zaidi katika michuano mikubwa. Je, ushindi huu na rekodi anazoendelea kuweka zinatosha kumfanya awe juu ya mpinzani wake wa muda mrefu? Mwandishi wa BBC @kenanivictorna taarifa zaidi 🎥: @frankmavura #bbcswahili #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw