Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo
🔴#LIVE: MWAKINYO vs MAYALA - RAUNDI 9 za MOTO, MSOUTH AKAPIGWA 'KO' | RUMBLE IN DAR... Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo, ameshinda mkanda wa WBC Africa wa uzito wa super welterweight kwa kumpiga kwa Knock Out (KO) round ya 9 Bondia wa Angola Antonio Mayala... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ameshinda mkanda wa WBC Africa wa uzito wa super welterweight kwa kumpiga kwa Knock Out (KO) round ya 9 Bondia wa Angola Antonio Mayala
TAIFA STARS WALIVYOTINGA UWANJANI KIBABE TAIFA stars leo imeanza vema michuano ya Afcon kwa kuibuka kidedea mbele ya timu ya Equatorial Guinea kwa kupata ushindi wa mabao 2-1 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa. Stars iliyo chini ya Etienne Ndayiragije ilianza kwa kasi kipindi cha kwanza haikuweza kutumia vema nafasi saba za kipindi cha kwanza na kuruhusu wapinzani wao Equatorial Guinea kuandika bao la kwanza dakika ya 15 kupitia kwa Pedro Obiang liliwapeleka Stars mapumziko wakiwa nyuma kwa mbao huo uliofungwa nje ya 18. Kipindi cha pili Stars ilianza kwa kulazimisha mashambulizi na iliwapeleka mpaka dakika ya 68 ambapo Simon Msuva aliandika bao la kwanza akimalizia pasi ya Mohamed Hussein 'Tshabalala' na kuweka mzani sawa. Salum Abubakari alimaliza ile fujo isiyoumiza dakika 90 kwa kulipa mbao wa Obiang akiwa nje ya 18 kwa kuachia mshuti wake wenye uzito uliomshinda mlinda mlango wa Equatorial Guinea akimalizia pasi ya Ditram Nchimbi. Ushindi huo unaifanya Stars kujikusanyia pointi zake tatu leo ikiwa kwenye uwanja wa Taifa. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li
KOCHA TRIANGLE Awaacha Midomo Wazi AZAM 'HAIKUWA RAHISI' MCHEZO wa kwanza hatua ya Kwanza kwenye Kombe la Shirikisho kwa kikosi cha Azam FC dhidi ya Triangle United umeongezeka uzito kwa wawakilishi wa Tanzania baada ya kupoteza mchezo. Bao pekee la wapinzani wa Azam FC, Triangel United ya Zimbabwe lilifungwa dakika ya 34 na Ralph Kawondera kutokana na uzembe wa safu ya ulinzi wa Azam FC. Licha ya Azam FC kupewa sapoti kubwa na mashabiki waliojitokeza uwanja wa Azam Complex hayakuzaa matunda kwani safu ya ulinzi ya Triangle United ilikuwa ngumu na ikajilinda na hatari zote. Sasa Azam FC ina kazi nzito ya kwenda kutafuta matokeo ugenini kwenye mchezo wa marudiano unaoatarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 27-29 nchini Zimbabwe. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza wa kimataifa kwa Azam FC kupoteza kwa mara ya kwanza uwanja wa nyumbani kati ya tisa ambayo walishaicheza tangu mwaka 2008. Mzigo wa Azam Fc kwa sasa ni kuongeza spidi ya kutafuta mabao zaidi ya mawili kwenye mchezo wa marudio. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App:
#mediekagere #simbasc #mbinu MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, ametoa tahadhari kwa wachezaji wenzake akisema kwamba hawatakiwi kuwachukulia kirahisi wapinzani wao UD do Songo. Simba itamenyana na UD Songo kwenye mchezo wa marudio kati ya Agosti 23-25 jijini Dar baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Msumbiji. Msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa, Kagere alitupia mabao sita ana kazi ya kufanya pamoja na wachezaji wake kwenye mchezo wa marudio ili kusonga mbele. “Kuelekea mchezo wa marudio tunatakiwa kuwa makini na kuchukulia kwa uzito mkubwa pambano ambalo tutachezwa kwani mashabiki pamoja na uongozi unahitaji matokeo,
Kuna mwengi yametikisa michezoni wiki hii lakini kurasa za mwisho za magazeti ambazo huandika habari za michezo, zimetoa kipaumbele zaidi kwa habari ya usajili ndani ya klabu ya Yanga, ambao wametumia dirisha dogo kumnasa kiungo Haruna Moshi Boban. Taarifa nyingine iliyopewa uzito ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Nkana FC dhidi ya Simba SC unaopigwa leo Desemba 15, 2018 nchini Zambia. Ndani ya Studio Philip Cyprian yuko na wanahabari nguli wa michezo, wanafanya uchambuzi na mjadala kuhusu yaliyopewa uzito kwenye kurasa hizo. Vilevile tumetembelea vibanda vya magazeti na kuzungumza na wafuatiliaji wa habari za michezo magazetini, wengi wakiwa ni mashabiki wa soka. Kipindi hiki ni kila Jumamosi saa 3:30 asubuhi Azam Sports 2.