Goli la Peter Banda Simba SC dhidi ya Geita Gold FC #simposports #ligikuu #tanfootball #cloudstv #cloudsfm #wasafitv #sportsarena #vsports #tanzanizvscongo #live #tve #skysports #ten #kipyenga #uwanjani #simba #simbasc #yanga #youngafrican #azamtv #tbc #storybook #new #diamond #rayvan #harmonize #derby #simbanayanga #timu #kikosi #michuano #kwamkapa #uhuru #mwanza #alliance #mbao #mbaofc #uwnjani #MAGOLI #mayele #feisal #Banda #PeterBanda
MADAGASCAR VS TANZANIA #simposports #ligikuu #tanfootball #cloudstv #cloudsfm #wasafitv #sportsarena #vsports #tanzanizvscongo #live #tve #skysports #ten #kipyenga #uwanjani #simba #simbasc #yanga #youngafrican #azamtv #tbc #storybook #new #diamond #rayvan #harmonize #derby #simbanayanga #timu #kikosi #michuano #kwamkapa #uhuru #mwanza #alliance #mbao #mbaofc #uwnjani#Simba #Yanga #ShaffihDauda #HajiManara#Babra #simbasc #YangaSc #jwanenggalaxy #uefa #Sports #Kigoma #AzamSports #SimbanaYanga #Iphone13 #SportsUpdates #uchambuzi #manara #Sportsarena #EFLCARABAOCUP #tanzania #michezo #Magoli #VPL #Morrison #goals #Wasafi #kipyenga #azamtv #matokeo #CarabaoCup #football #SimpoSports #JeshiDerby #euro #misri #derby #tbc #MillardAyoUPDATES #millardayo # #caf #boxing #vitasa #ndondi #uzito #fighting #kickboxing
Vyungu kwenye Draw ya Michuano ya Shirikisho Afrika. POT 1 TP Mazembe 🇨🇩 Simba SC 🇹🇿 Zanaco FC 🇿🇲 ASEC Mimosas 🇨🇮 FC Nouadhubou 🇲🇻 AS Otoho d'Oyo 🇨🇬 Rivers United 🇳🇬 POT 2 Gor Mahia 🇰🇪 Marumo Gallants JS Saoura 🇩🇿 Red Arrows 🇿🇲 DC Motema Pembe 🇨🇩 Al Ahli Tripoli 🇱🇾 GD Interclube 🇦🇴 Binga FC 🇲🇱 POT 3 Tusker FC 🇰🇪 Royal Leopards 🇸🇿 APR FC 🇷🇼 US Gendarmerie 🇳🇪 LPRC Oilers 🇱🇷 AS Maniema Union 🇨🇩 Al Ittihad SC 🇱🇾 Stade Malien 🇲🇱 Hearts of Oak 🇬🇠POT 4 RS Berkane 🇲🇦 Pyramids FC 🇪🇬 JS Kabylie 🇩🇿 Enyimba FC 🇳🇬 CS Sfaxien 🇹🇳 Cotonsport FC 🇨🇲 Orlando Pirates 🇿🇦 Al Masry 🇪🇬 #simbasc #kombelashirikishoafrica #yangasc #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
Mabingwa wa kombe la FKF Gor Mahia walifuzu kwa raundi ya pili ya mechi za kufuzu kwa michuano ya kuwania kombe la shirikisho Barani Afrika baada ya Al Ahly Merowe ya Sudan kujiondoa kwenye michuano hiyo. Gor Mahia iliishinda Al Ahly Merowe mabao matatu kwa moja kwenye mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa nchini Misri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football
Mabingwa wa Tanzania, Simba SC wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika #CAFCL baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya matokeo ya jumla kuwa 3-3, lakini Simba wanaondoka kwa faida ya goli la ugenini na Jwaneng wanaingia hatua ya makundi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Kocha Msaidizi wa Simba SC ambaye anaiongoza timu hiyo katika michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika, Thierry Hitimana, amezungumzia maandalizi yao kuelekea kuivaa Jwaneng Galaxy ya Botswana Jumapili Oktoba 24, 2021, uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya marudiano ya ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inahitaji sare au ushindi ili kutinga hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na ushindi wa 2-0 ugenini waliopata Oktoba 17, 2021 uwanja wa Taifa wa Botswana. #SimbaSC #JwanengGalaxy #ThierryHitimana #MpenjaTV
BIASHARA UNITED VS DIKHIL FC: Biashara United imesonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ikiitandika FC Dikhil ya Djibouti mabao 2-0 na kufanya matokeo ya jumla ya 3-0 kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata katika mchezo wa kwanza ugenini. Magoli yote mawili ya leo yamefungwa na Ramadhan Chombo 'Redondo' huku akipoteza penati. Mechi imepigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Ismail Aziz limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 na kuipeleka raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shiriksiho barani Afrika kwa jumla ya maba 4-1 kufuatia ushindi wa 3-1 iliyoupata katika mchezo wa kwanza. Mechi hii ambayo Azam FC wamecheza kama wageni, imepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kwa makubaliano maalum, ambapo Horseed waliamua kuutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz