Content removal request!


Mabingwa wa kombe la FKF Gor Mahia wafuzu

Mabingwa wa kombe la FKF Gor Mahia walifuzu kwa raundi ya pili ya mechi za kufuzu kwa michuano ya kuwania kombe la shirikisho Barani Afrika baada ya Al Ahly Merowe ya Sudan kujiondoa kwenye michuano hiyo. Gor Mahia iliishinda Al Ahly Merowe mabao matatu kwa moja kwenye mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezwa nchini Misri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #Football