Mabingwa wa Tanzania, Simba SC wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika #CAFCL baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya matokeo ya jumla kuwa 3-3, lakini Simba wanaondoka kwa faida ya goli la ugenini na Jwaneng wanaingia hatua ya makundi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz