BIASHARA UNITED VS DIKHIL FC: Biashara United imesonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ikiitandika FC Dikhil ya Djibouti mabao 2-0 na kufanya matokeo ya jumla ya 3-0 kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata katika mchezo wa kwanza ugenini. Magoli yote mawili ya leo yamefungwa na Ramadhan Chombo 'Redondo' huku akipoteza penati. Mechi imepigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ilikuwa ni funga nikufunge, Simba ikitangulia, kisha kutokea nyuma na kushinda mechi dhidi ya Namungo FC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Anicet Oura amefunga mawili huku lingine likifungwa na Rushine de Reuck kwa penati wakati magoli mawili ya Namungo yakitoka kwa Raymond Lulendi. Tazama magoli yote matano...
#NBCPL Chuma zote nne hizi hapa.! FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar Uchambuzi unaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSKageraSugar #YangaSC
VITASA NIGHT: Tazama ndonga za Mandonga kwa raundi nne dhidi ya Michael Williams kutoka Canada. Kuna wakati wamelamba sakafu wote wawili kwa wakati mmoja, sijui ni nani aliyemuangusha mwenzake…!!! Mbwembwe na burudani baada ya kukamilika kwa raundi nne, siyo habari tena…!!! Mshindi ni Karim Mandonga kwa pointi Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
MZIZIMA DERBY | Magoli mawili, moja likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Nathan Fasika Idumba na Clatous Chama yameipa Simba SC ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC, katika #MzizimaDerby ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
YANGA DAY: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Yanga SC dhidi ya Aigles du Congo. Goli la Yanga limefungwa na Peter Shalulile na magoli ya Aigles du Congo yamefungwa na Talasy Tonny. FT: Yanga SC 1-2 Aigles du Congo #YangaDay #YangaSC #MwakaniTena #Wananchi #MechiYaKirafiki #YangaSC #AiglesduCongo
SIMBA DAY: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Kenya Police Goli limefungwa na Elvis Rupia. FT: Simba SC 0-1 Police Kenya #SimbaDay #SimbaSC #Miaka90 #MechiYaKirafiki #SimbaSC #KenyaPolice