Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

BARAKA MPENJA AKOSHWA NA USAJILI WA MKUDE YANGA/"SITASAHAU TUKIO HILI AKIWA SIMBA/ANAJUA MPIRA"
BARAKA MPENJA AKOSHWA NA USAJILI WA MKUDE YANGA/"SITASAHAU TUKIO HILI AKIWA SIMBA/ANAJUA MPIRA"

Baada ya miaka 13 ya kuwatumikia Simba Sc Jonas Mkude rasmi ametaganzwa na Young Africans kuwa Nyota wao mpya. Mwamba wa umalila Baraka Mpenja ametupa uzoefu wake juu ya Jonas Mkude, nafasi ya ushindani kwenye Kikosi cha Yanga je ataweza kuingia kwenye Kikosi? Baraka ameeleza moja ya tukio kubwa ambalo hatolisahau kumhusu Mkude na Mechi ambayo Jonas alicheza kwa Kiwango kikubwa huku Baraka Mpenja akiwa anatangaza Mechi hiyo.

AHMED ALLY AJIBU MAPIGO/"WALIMTUMIA NAULI TUKAMUIBA/SAFARI UTURUKI/HATUJAMALIZA KUTAMBULISHA
AHMED ALLY AJIBU MAPIGO/"WALIMTUMIA NAULI TUKAMUIBA/SAFARI UTURUKI/HATUJAMALIZA KUTAMBULISHA

Mpenja Tv tumepata ugeni wa Semaji la Simba Ahmed Ally mapema Leo July 10, amefika huku Gari yake ikiwa imebandikwa Majina ya Nyota wapya ambao wamesajiliwa na Simba katika Dirisha hili. Pia Semaji limeeleza sababu za Simba kufanya Usajili mkubwa na Mipango yao ya Pre-Seasons ambayo watasafiri Kesho Julai 11/2023 kuelekea Nchini Uturuki ambapo watakaa kwa Wiki 3 kabla ya kurejea Nchini kwa ajili ya Msimu ujao wa 2023/24

EXCLUSIVE: MAYELE KUBAKI AU KUONDOKA YANGA?/MWENYEWE AWEKA WAZI/"MIMI NDIO NAAMUA NICHEZE WAPI”
EXCLUSIVE: MAYELE KUBAKI AU KUONDOKA YANGA?/MWENYEWE AWEKA WAZI/"MIMI NDIO NAAMUA NICHEZE WAPI”

Karibu kutazama Exclusive interview na Fiston Mayele, Nyota wa Kimataifa wa Congo na MVP wa Ligi Kuu ya NBC Msimu 2022/2023. Mayele ameweka sawa tetesi za kuondoka Yanga na amewatoa hofu Mashabiki wa Yanga kuwa maongezi bado yanaendelea hivyo lolote linawezekana. Aidha Fiston ameshukuru Mashabiki wa Yanga kwa Upendo wanaonyesha kwake pamoja na utofauti wa Mashabiki wa Congo na Tanzania na amekiri kuwa Mashabiki wa Tanzania wanapenda Mpira kuliko Congo. Amejibu maoni ya Wadau kuhusu kuwa Mchoyo Uwanjani haswa kwenye nafasi za kufunga na ameeleza kiupana sana kwanini huwa anafanya hivyo na hana pasi nyingi za Mwisho. Sanjari na hayo Mayele ameeleza ukaribu wake na Wachezaji ambao wamepewa Mkono wa kwaheri na Yanga na namna alivyopokea taarifa hizo. Mwisho kabisa Fiston ametaja Kikosi chake bora Msimu uliokwisha.

MWAMBA WA LUSAKA AGUSWA NA MKUDE/NYONI/TIMU KUKOSA UBINGWA/"NITAWAKUMBUKA/NATAMANI KURUDI/FAMILIA"
MWAMBA WA LUSAKA AGUSWA NA MKUDE/NYONI/TIMU KUKOSA UBINGWA/"NITAWAKUMBUKA/NATAMANI KURUDI/FAMILIA"

Clatus Chama amerudi Leo July 4 kutoka kwao Zambia kwenye mapumziko baada ya kumaliza Msimu na sasa amerejea kujiandaa na Msimu 2023/2024. Clatus amewapongeza Wachezaji walioanzisha Michezo ya Bonanza kwa lengo la kuridisha kwa jamii, amekiri kuwa anatamani kufanya kama wanavyofanya wao. Aidha Clatus ameeleza namna alivyopokea taarifa ya kuagwa kwa Jonas Mkude na Erasto Nyoni kwani ni Wachezaji aliwazoea sana na wamekuwa na kiwango bora sana. Baada ya kuwa na Msimu mgumu wa kutokuwa na Mataji Chama amewaomba Mashabiki kuwaamini na ameahidi kupambana na Msimu huu kuwa kutafuta mataji. Sanjari na hayo Clatus amepongeza Wachezaji waliofanya vizuri Msimu uliopita na ameahidi kufanya vizuri Msimu ujao na kurudi kwenye kinyang'anyiro cha MVP.

ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI
ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI

Leo ndio Leo 🔥 ndani ya Mkoa wa Morogoro Wadau na wapenzi wa Soka Watashuhudia Burudani safi ya mpira wa Miguu katika Dimba la Jamhuri 🏟.. Ni Mchezo wa Hisani WAPE TABASAMU 2023 kati ya TEAM KIBWANA SHOMARI Vs TEAM DICKSON JOB ⏰ Kuanzia Saa 08:00 Mchana JE, Unadhani nani ataibuka Mbabe 😊⁉️ Endelea Kuwa karibu na Mpenja Tv kwa Updates Zaidi.

JONAS MKUDE KUTUA YANGA?/ALLY KAMWE AWEKA WAZI/HATUWEZI KUMUACHIA/KIUNGO BORA/HAWAJAFIKIRIA
JONAS MKUDE KUTUA YANGA?/ALLY KAMWE AWEKA WAZI/HATUWEZI KUMUACHIA/KIUNGO BORA/HAWAJAFIKIRIA

Ally Kamwe ametoa sifa za kutosha kwa Kiungo Jonas Mkude 'Nungu nungu' kuwa ni kiungo bora wa mkabaji kwa hapa Tanzania. Aidha Kamwe ameeleza kuwa Jonas anaweza kucheza Timu yoyote Tanzania hata Young Africans kuna uwezekano wa Jonas kucheza. Sanjari na hayo Ally amejibu maswali ya Chemsha bongo na kuimba Wimbo ambao anausilikiliza sana kipindi hiki ambacho Ligi imekwisha.

WASEMAJI WA TIMU KIBWANA NA TIMU JOB WAPIGANA TAMBO KUELEKEA MCHEZO/MBONEKE AMGEUKA JOB.
WASEMAJI WA TIMU KIBWANA NA TIMU JOB WAPIGANA TAMBO KUELEKEA MCHEZO/MBONEKE AMGEUKA JOB.

Leo tarehe 22/06/2023 imetolewa tarehe rasmi ya Mchezo wa Wape Tabasamu 2023 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri. Dhumuni kubwa la Mchezo huo ni Uzazi Salama kwa Kizazi Bora. Kocha wa Timu Kibwana ni George Ambangile huko Kocha wa Timu Job akiwa ni Ally Kamwe

MSUVA AIPA YANGA NAFASI KUBWA YA KUMSAJILI AKIRUDI BONGO/“AKILI YANGU INAWAZA KUCHEZA NJE TU"
MSUVA AIPA YANGA NAFASI KUBWA YA KUMSAJILI AKIRUDI BONGO/“AKILI YANGU INAWAZA KUCHEZA NJE TU"

Badhi ya Nyota watakao kipiga kwenye Mchezo wa Timu Samatta dhidi ya Timu Kiba wakiwa wanawasili kwenye Dimba la Azam Complex. Aidha wadau wakubwa wa Michezo wakiwemo Wasanii wa Muziki pia wamefika hapa kushuhudia Mbungi la Timu Samatta dhidi ya Timu Kiba

Highlights

TAMBO ZA SEMAJI LA SINGIDA BIG STARS AWAPA ANGALIZO SIMBA/"TUTAWAFUNGA/TUNATAKA KUMALIZA TOP 4"
TAMBO ZA SEMAJI LA SINGIDA BIG STARS AWAPA ANGALIZO SIMBA/"TUTAWAFUNGA/TUNATAKA KUMALIZA TOP 4"

Kwenye Uwanja wa CCM Liti Singida,Imechezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Singida Big Stars dhidi Azam Fc Majira yale ...

KOCHA SINGIDA BIG STARS AMPIGIA SALUTI KIUNGO WAKE BRUNO GOMES/"GOLI LAKE NI BORA SANA"

AGREY MORIS AMTETEA GOLIKIPA WA AZAM FC/"HAKUNA GOLIKIPA ASIYEFUNGWA/TUMPONGEZE MPIGAJI"

HASHEEM IBWE KINYONGE AMPONGEZA BRUNO GOMES/"AMECHEZA VIZURI/BOLI IMETEMBEA"

MUSONDA ATAUPIGA MSONDO, RUVU WATACHEZA /UBINGWA KAMA KAWAIDA/SIMBA WANAGOMBEA NAFASI YA TATU
MUSONDA ATAUPIGA MSONDO, RUVU WATACHEZA /UBINGWA KAMA KAWAIDA/SIMBA WANAGOMBEA NAFASI YA TATU

Leo Tarehe 23/1/2023 Yanga SC Wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Ruvu Shooting kwenye Mchezo wa ligi ...

NJE KWA MKAPA/YANGA SC NA RUVU SHOOTING WAWASILI KIBINGWA/NJIWA ATABIRI MAGOLI ZAIDI YA 3/MAYELE

SIMBA SC WAWASILI DAR ES SALAAM KIBABE/ KOCHA ROBERTINHO AKUBALI KIWANGO CHA BALEKE...
SIMBA SC WAWASILI DAR ES SALAAM KIBABE/ KOCHA ROBERTINHO AKUBALI KIWANGO CHA BALEKE...

Simba SC Wamewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Dodoma,ikiwa Siku ya Jana walicheza ...

LIVE: YANGA SC VS RUVU SHOOTING/ MUDATHIR KAONGEZA UTAJIRI MKUBWA SANA YANGA SC/MFUNGAJI MZURI..
LIVE: YANGA SC VS RUVU SHOOTING/ MUDATHIR KAONGEZA UTAJIRI MKUBWA SANA YANGA SC/MFUNGAJI MZURI..

Mchambuzi wa Soka kutoka TVE na Efm, Tigana lukinja Ameuchambua kiundani Mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC kati ya ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports