Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

MBWADUKE:''HUU NDIO UTOFAUTI WA KOCHA ROBERTINHO NA NABI/AMEONGEZEA FALSAFA MPYA SIMBA/ONYANGO...

Mpenja Tv tumezungumza na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media Limited Ramadhan Mbwaduke kuhusu takwimu za Kocha Roberto Oliveira "Robertinho" ndani ya Klabu ya Simba tangu alivyoanza kuifundisha na nini anakiona kwa Simba Msimu ujao wa 2023/2024. Pia amesema licha ya Simba SC kumaliza ligi wakiwa nafasi ya pili bado kocha Robertinho ana Takwimu Bora ukilinganisha na kocha Nasreddine Nabi ambaye ametwaa Ubingwa wa Makombe yote makubwa ngazi ya Klabu Nchini,Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

UTANI WA AHMED ALLY NA ALLY KAMWE/HUNA MEDALI UNAVAA TU TAI/MKAMIAJI/GUNDU/HAMASA STARS VS NIGER

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ tayari ipo kambini kujiandaa na mechi ya Kundi F dhidi ya Niger kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ‘Afcon 2023’ itakayopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku timu hiyo ikihitaji ushindi kwa lengo la kujiweka pazuri kwenda Ivory Coast.

GHARIB MZINGA: "YANGA NDIO KIKOSI BORA ZAIDI KOMBE LA SHIRIKISHO/WAMECHEZA VIZURI/WAMEJIFUNZA"

USM Alger walishinda kwenye Dimba la Benjamin Mkapa na Yanga wameenda kushinda Kwenye Dimba la July 5, kila mmoja ameshindwa kwenye Ardhi ya Ugenini lakini Kombe limeenda kwa USM Alger. Hii ni tathmini ya Gharib Mzinga 'KILWA FINEST' Kuhusu Mchezo wa Pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mzinga ameeleza kuhusu mipango ya Timu za Algeria kuhakikisha wanakuza vipaji na kufikia Nchi ya ahadi yenye Mafanikio ya Kisoka. Aidha ameeleza kuwa USM Alger hawajabadilika bali Yanga ndio walibadilika.

AHMED ALLY AIBUKA NA JIPYAA!/“SIJAPOTEA/AISHI MANULA KAENDA SOUTH/MO DEWJI KAWEKA PESA ZA USAJILI”

Leo Tarehe 29 Mei,Mpenja Tv tumefanya Mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Sc Ahmed Ally na kuweka wazi Mwenendo wa Timu hiyo wakati huu ambao Ligi Kuu imesimama wakiwa wamebakiza Mechi Mbili Msimu kwisha.

UBORA WA YANGA UPO KWA NABI NA MAYELE/HUYU NDIYE MCHEZAJI HATARI WA USM ALGER/WASIFU WA YANGA...

Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media LTD ,Gharib Mzinga amewachambua kiundani wapinzani wa Yanga SC, USM Alger ambao watacheza nao Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,Jumapili hii Mei 28 2023,Katika Dimba la Benjamin Mkapa.

BARAKA MPENJA: "YANGA WATACHUKUA UBINGWA WA SHIRIKISHO/MAYELE NI JINI/YANGA HII NI BORA SANA"

Mara ya kwanza Timu kutoka Tanzania imetinga hatua ya Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumchabanga Marumo Gallants Goli 2 kwa 1 Nyumbani kwake. Mmoja wa Mashuhuda wa Rekodi hiyo ni Mwamba wa Umalila Baraka Adson Mpenja ambae ametoa maoni yake juu ya Rekodi hiyo na Ubora wa Kikosi cha Yanga. Aidha amenyoosha Mikono kwa Nyota Fiston Mayele juu ya Ubora alionao akiwa Kiwanjani, Goli moja na Pasi moja ya mwisho. Mpenja amekiri kuwa Msimu huu Yanga anakuwa Bingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, na Kizazi hiki ndio Kizazi Bora cha Yanga tangu kuanzishwa kwake kwa mujibu wa Rekodi.

WILSON ORUMA: "YANGA WAPEWE MAUA YAO/MARUMO SIO WA KUWACHUKULIA POWA/MGUU MMOJA WAMEWEKA FAINALI"

Leo Tarehe 10/05/2023 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa kunapigwa Mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika Yanga dhidi ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini. Mchezo wa pili ulipigwa Afrika Kusini Tarehe 17/05/2023. Leo inatafutwa Tiketi ya kwenda hatua ya Nusu Fainali hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mpenja Tv tutakuletea matukio yote kabla na baada ya Mchezo huu kufika Tamati

AHMED ALLY "MAMBO YANAZIDI KUWA MAGUMU KWA UPANDE WETU/MWENYE KUKATA TAMAA AKATE/KICHUYA KABUNDA..

Leo Mei 3 2023, katika Dimba la Majaliwa Ruangwa Mkoani Lindi inapigwa Mbungi ya Ligi kuu ya NBC kati ya Wauaji wa kusini,Namungo FC na Mnyama,Simba SC,Saa Moja Jioni . Mpenja TV tunakuletea Taarifa zote kabla na baada ya Mbungi hiyo

Highlights

ISMAIL SAWADOGO AMEVUKA MATARAJIO YA KOCHA/SAJILI BORA DIRISHA DOGO/TUMELAMBA DUME/MAN OF THE MATCH

Mpenja TV ipo Jijini Dodoma kukuletea Updates zote za Mchezo wa ligi kuu kati ya Dodoma Jiji FC na Simba SC. Fungua video ...

SAWADOGO NI PATRICK MAFISANGO MPYA NDANI YA SIMBA/MSIKIE NURDIN SELEMAN ALIYETANGAZA GOLI LA BALEKE

MZARAMO WA SIMBA AIBUKA NA JIPYA/"BALEKE ALIVYOZALIWA MVUA ILINYESHA/DUNDUKA NI NINI?/MSIKIE HAPA

KOCHA ROBERTINHO: "NIMEFURAHI/NIMERIDHISHWA NA KIWANGO CHA SAWADOGO,BALEKE/SOKA LA KUSHAMBULIA"

AHMED ALLY APAGAWA NA KIWANGO CHA BALEKE NA SAWADOGO/"MOTO NDIO KWANZA UMEWAKA/BALAA ZITO LINAKUJA"

KOCHA DODOMA JIJI: "TULISTAHILI KUSHINDA AU KUPATA DROO/GOLIKIPA ALIFANYA MAKOSA/TULIZIBA NJIA ZAO"

DODOMA JIJI NA SIMBA WALIVYOTUA KIBABE/SIMBA ULINZI WAO BALAA/DODOMA JIJI WABADILI NJIA

YULE SHABIKI WA SIMBA ALIYEKULA SHAVU KWA AL HILAL AIBUKIA DODOMA/"WALINAMBIA WATANIALIKA TENA"

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports