Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo August 9 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya nusu fainali ya kwanza ya ngao ya jamii 2023 kati ya Yanga SC na Azam FC,Saa moja Usiku. Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.
Kikosi cha Simba Kimetua Tanzania kutokea Uturuki walipokita Kambi ya maandalizi ya Msimu mpya. Kikosi hicho kimeongozwa na Kocha Robertinho pamoja na baadhi ya Viongozi akiwemo Mratibu wa Timu Abbas Ally.
Hatimaye Pyramids FC ya Misri imetangaza kumsajili Mshambuliaji FISTON MAYELE kutoka Yanga SC. Nayo Klabu ya Yanga imemuaga rasmi Mayele na kumshukuru kwa huduma yake ya miaka miwili.
Mpenja Tv tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Shaban Kamwe kuhusu Uwepo wa mchezo wa Kirafiki kipindi hiki cha Maandalizi kwa ajili ya Msimu ujao wa 2023/24 Ally Kamwe amejibu taarifa ambazo zinaenea uwepo wa Mchezo wa Kirafiki dhidi ya AS Vita Je Mchezo upo au haupo? Amejibu yote hapa Ally Kamwe.....
Baada ya Kufanyika Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika Mpenja Tv tumekuletea Uchambuzi wa Viwango kutoka kwa Mchambuzi Bora Kabisa wa Soka la Afrika Gharib Mzinga.... Fungua Video Hii kupata Habari Kamili..
Mpenja Tv tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Shaban Kamwe baada ya Kumalizika kwa Tamasha la Wiki ya Mwananchi ambalo lilifanyika Siku ya Jana Julai 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa wao kama Klabu ni kwa kiasi gani wamefanikisha malengo ambayo walijiwekea....
uelekea Uzinduzi wa Jezi Mpya za Simba kwa Msimu ujao wa 2023/24 Tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally na kutufahamisha shuhuli nzima itakavyokuwa siku ya Kesho Julai 19 wakati wa kukipandisha kibegi cha Jezi Mpya Juu ya Mlima Kilimanjaro
Rasmi Fabrice Luamba Ngoma ni Nyota wa Simba SC baada ya kusaini Kandarasi ya Miaka Miwili na Wekundu wa Msimbazi Simba SC. Tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally kuhusu Usajili huo kuanzia Mchakato wa kumapata na Kandarasi husika. Kuhusu Nyota wapya kuingia Kambini Nchini Uturuki Ahmed ametaja Tarehe husika ya Nyota hao kuanza Safari. Maswali kuhusu kuangwa kwa Jonas Mkude Siku ya Simba Day pia yamejibiwa hapa na Ahmed Ally. Kuhusu Chama Ahmed amewatoa hofu wana Simba pasina kusahau Kijembe kwa Watani zake kuhusu Fiston Mayele kuondoka Yanga.
Mchezaji wa Al Hilal, John Mano akizungumzia Ushindani waliokutana nao kucheza na Azam FC kwenye Mchezo wa Kirafiki na ...
Leo Tarehe 23/1/2023 Yanga SC Wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Ruvu Shooting kwenye Mchezo wa ligi ...

Kwenye Uwanja wa CCM Liti Singida,Imechezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Singida Big Stars dhidi Azam Fc Majira yale ...