Baada ya miaka 13 ya kuwatumikia Simba Sc Jonas Mkude rasmi ametaganzwa na Young Africans kuwa Nyota wao mpya. Mwamba wa umalila Baraka Mpenja ametupa uzoefu wake juu ya Jonas Mkude, nafasi ya ushindani kwenye Kikosi cha Yanga je ataweza kuingia kwenye Kikosi? Baraka ameeleza moja ya tukio kubwa ambalo hatolisahau kumhusu Mkude na Mechi ambayo Jonas alicheza kwa Kiwango kikubwa huku Baraka Mpenja akiwa anatangaza Mechi hiyo.
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! 🌍 Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! 🔴 TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 📞 SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 📧 EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com