ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI

Leo ndio Leo ๐Ÿ”ฅ ndani ya Mkoa wa Morogoro Wadau na wapenzi wa Soka Watashuhudia Burudani safi ya mpira wa Miguu katika Dimba la Jamhuri ๐ŸŸ.. Ni Mchezo wa Hisani WAPE TABASAMU 2023 kati ya TEAM KIBWANA SHOMARI Vs TEAM DICKSON JOB โฐ Kuanzia Saa 08:00 Mchana JE, Unadhani nani ataibuka Mbabe ๐Ÿ˜Šโ‰๏ธ Endelea Kuwa karibu na Mpenja Tv kwa Updates Zaidi.

Similar Posts!