Content removal request!


AHMED ALLY AJIBU MAPIGO/"WALIMTUMIA NAULI TUKAMUIBA/SAFARI UTURUKI/HATUJAMALIZA KUTAMBULISHA

Mpenja Tv tumepata ugeni wa Semaji la Simba Ahmed Ally mapema Leo July 10, amefika huku Gari yake ikiwa imebandikwa Majina ya Nyota wapya ambao wamesajiliwa na Simba katika Dirisha hili. Pia Semaji limeeleza sababu za Simba kufanya Usajili mkubwa na Mipango yao ya Pre-Seasons ambayo watasafiri Kesho Julai 11/2023 kuelekea Nchini Uturuki ambapo watakaa kwa Wiki 3 kabla ya kurejea Nchini kwa ajili ya Msimu ujao wa 2023/24