WACHAMBUZI WALIKOSEA SANA KUSEMA SIMBA NI UNDERDOG/YANGA WALIPASWA KUAMBIWA HAYA
WACHAMBUZI WALIKOSEA SANA KUSEMA SIMBA NI UNDERDOG/YANGA WALIPASWA KUAMBIWA HAYA

Simba Pro ni Channel maalum kwaajili ya mashabiki wa Simba ambayo inajihusisha na kuongelea klabu ya Simba kiundani, imebobea kwenye maswala ya usajili pamoja na uchambuzi wa michezo ya Simba Pia Simba Pro inafahamika ndani na nje ya nchi kuanzia Tanzania Kenya Uganda Burundi Congo United States Zambia China na Germany huko kote kuna watazamaji wanafatilia Channel hii Waendesha vipindi ni Heavyweight Dulla ambae anapatikana Instagram kama Heavyweight_dullah pamoja na Innocent Moshy ambae anapatikana Instagram na Tiktok kama Realmoshyy Simba Pro ndio channel ya mashbaiki wa simba inayofanya vizuri zaidi kuliko Channel yoyote ya mashabiki wa Simba Tanzania



CAF WATOA TAMKO BAADA YA YANGA KUSHINDA DHIDI YA AL HILAL #shorts #youtubeshorts #shortvideos
CAF WATOA TAMKO BAADA YA YANGA KUSHINDA DHIDI YA AL HILAL #shorts #youtubeshorts #shortvideos

Rais SAMIA Atoa Tamko Baaada ya YANGA Kushinda 1-0 Dhidi ya AL HILAL Kombe la Klabu Bingwa AFRIKA



BARAKA MPENJA “DAKIKA ZA JIOONI/ALICHAMBUA GOLI LA PRINCE DUBE/LINA MAANA KUBWA KWA YANGA SC”
BARAKA MPENJA “DAKIKA ZA JIOONI/ALICHAMBUA GOLI LA PRINCE DUBE/LINA MAANA KUBWA KWA YANGA SC”

Mtangazaji wa kabumbu kutoka Azam Media, Baraka Mpenja akitoa maoni yake kwa klabu ya Yanga baada ya Yanga kupata sare ya Bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe.



🟡BREAKING NEWS!RAIS HERSI ATANGAZA USAJILI WA YANGA DIRISHA DOGO RASMI/WACHEZAJI KUTOLEWA KWA MKOPO.
🟡BREAKING NEWS!RAIS HERSI ATANGAZA USAJILI WA YANGA DIRISHA DOGO RASMI/WACHEZAJI KUTOLEWA KWA MKOPO.

Kamati ya Utendaji ya Yanga imekaa leo na kujadili masuala muhimu kuhusu klabu hiyo ikiwa ni pamoja na usajili wa dirisha dogo......#yangasc #usajili #dirishadogo #alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia



🟡DAH!ALI KAMWE ADONDOSHA MACHOZI BAADA YA KIPIGO CHA LEO/TAASISI IPO KWENYE KIPINDI KIGUMU/MM NAUMIA
🟡DAH!ALI KAMWE ADONDOSHA MACHOZI BAADA YA KIPIGO CHA LEO/TAASISI IPO KWENYE KIPINDI KIGUMU/MM NAUMIA

Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wa pili wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuchapwa bao 2-0 dhidi ya MC Alger katika mchezo uliomalizika nchini Algeria hii leo...#alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia



EXCLUSIVE ALLY KAMWE AKANUSHA YANGA KUMSAJILI BAYO AZIZ FAHAD | KISA JEZI AJIBU MAPIGO KWA SIMBA
EXCLUSIVE ALLY KAMWE AKANUSHA YANGA KUMSAJILI BAYO AZIZ FAHAD | KISA JEZI AJIBU MAPIGO KWA SIMBA

Karibu kutazama mahojiano ya Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe"Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market" #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate



Henock Inonga aenda kuwasalimia wachezaji wa Taifa Stars
Henock Inonga aenda kuwasalimia wachezaji wa Taifa Stars

Tazama beki wa DR Congo, Hennock Inonga alivyokwenda kuwasilimia wachezaji wa Taifa Stars, walipokuwa kwenye mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Marty's jana Alhamisi ya Oktoba 9, 2024 Inonga kwa sasa anacheza soka nchini Morocco akitokea klabu ya Simba ya Tanzania. Stars itashuka dimbani leo Oktoba 10, 2024 dhidi ya DR Congo mchezo wa kundi ‘H’ #KufuzuAFCON2025. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania



🟡Duh!Exclusive Tazama ALI KAMWE Alichambua Kundi La YANGA/Wapinzani Wameingia Kwenye Mfumo/Point 12+
🟡Duh!Exclusive Tazama ALI KAMWE Alichambua Kundi La YANGA/Wapinzani Wameingia Kwenye Mfumo/Point 12+

Meneja Habari wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe Analichambua Kundi la Yanga Sc Mwanzo Mwisho baada ya Kuchezeshwa Kwa Droo ya Makundi hii leo na Yanga kuwafahamu wapinzani wake ambao ni Al Hilal ya Sudan, TP Mazembe Ya Congo, MC Alger ya Alger nao Young Africans Wenyew..#yangasc #simbasc #ahmedally #alikamwe #hersi #modewij #caf #ligiyamabingwa #azamtv #azamsports #azamfc #ligikuu #tff #nbc #gsm #michezo #burudani Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia




« Previous Next »


Popular Tags

#Tristan Thompson  #Best Ball Controls  #Counter Attack Goals Football  #Russell Westbrook  #Best Football Defending Skills  #Boston Celtics  #Goal Celebrations  #Goalkeeper Saves  #David Silva  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#darrenrovell  #Ky1eLong  #BMcCarthy32  #JJWatt  #Harry_Styles  #RSherman_25  #jadande  #DeAndre  #WWE  #itsBayleyWWE  #RealSkipBayless  #sportspickle  #josecanseco  #MichelleDBeadle  #KDTrey5