Ni mahojiano maalumu na afisa habari wa klabu ya Simba sc akizungumzia timu yake "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market" #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate
Ni mahojiano maalumu na afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market" #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate
Klabu ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Augsburg katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini. Mshambuliaji mpya wa Yanga Jean Baleke ameanza vyema baada ya kufunga bao la kufutia machozi kwa timu yake huku Mads Pedersen na Niklas Dorsch wakiifungia Augsburg. FT: FC Augsburg 2-1 Yanga. Video Credit @azamtvtz @fcaugsburg #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #augsburg #alahlysc #miraj #baleke #chama #aziziki
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentus Magori na Meneja wa Habari wa timu hiyo Ahmed Ally wamezungumzia mchakato wa usajili ndani ya klabu hiyo na kutoa tafsiri ya ubwaya ubwela.
Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Mpenja Tv,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya, Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.
Kipindi cha kwanza kusikika cha CROWN SPORTS 92.1 CROWN FM. Msemaji wa Klabu ya Yanga SC Ally Kamwe atakua Live akitujuza kuhusu usajili, mipango, kambi ya Yanga SC na kuhusu mashindano ya Kagame Cup yajayo. #CROWNSPORTS #CROWNDIGITAL
Klabu ya Simba SC kupitia kwa mashabiki wake Leo June 30,2024 wamefungua Tawi la Timu hiyo lililopewa jina la Mpira burudani maeneo ya Kigamboni Mbutu kichangani,hafla hiyo iliyohudhuriwa na Msemaji wa Simba SC Ahmedy ally ambae ndio alikuwa mgeni Rasmi
Afisa habari wa klabu Ya Simba Ahmed Ally akizunguzmia yale yanayiendelea katika klabu hiyo "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market" #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate