Tazama beki wa DR Congo, Hennock Inonga alivyokwenda kuwasilimia wachezaji wa Taifa Stars, walipokuwa kwenye mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Marty's jana Alhamisi ya Oktoba 9, 2024 Inonga kwa sasa anacheza soka nchini Morocco akitokea klabu ya Simba ya Tanzania. Stars itashuka dimbani leo Oktoba 10, 2024 dhidi ya DR Congo mchezo wa kundi ‘H’ #KufuzuAFCON2025. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania