JAhctive Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
DROO YA ROBO FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUFANYIKA LEO. Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara anazungumza na Watanzania kuelekea Droo Ya robo Fainali Kombe la Shirikisho na ligi Ya mabingwa Africa inafanyika leo saa 9:00 Alasiri nchini Misri Ambapo Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga Kwenye ligi ya Mabingwa Afrika huku Manara akiweka wazi nafasi ya Yanga kufuzu Nusu Final kutokana na aina ya mpinzani watakayepangiwa Vilabu ambavyo vimefuzu robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kuna Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania). kombe la Shirikisho Kuna USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali). #manara #yangasc #caf #drooyacaf #hajimanara #manaratv #simbawc #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc #ligikuu #michezo #burudani #tff #nbc #gsm Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ameitembelea kambi ya Yanga iliyopo nchini Misri ambapo hii leo itacheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly. #mayele #yangasc #alahly #misri #ccl #musonda #yangasc #caf #ligiyamabingwaafrica #manara #hajimanara #yangasc #manaratv #ligikuu #tff #ligiyamabingwa #azamtv #azamfc #simbasc #alikamwe #ahmedally #azammedia #michezo #burudani #msimamo Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amefunguka A-Z ishu nzima inayomuhusu Mayele na Young Africans huku akisema hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na mashabiki hawampendi mayele wanaipenda timu yao.#manara #hajimanara #manaratv #mayele #yangasc #ligikuu #tff #hersi #michezo #burudani #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amemjibu Haji Manara kwa kile ambacho kinaonekana ni mashambulizi baina yao kwenye mitandao ya kijamaa huku Mayele akiwaandama mashabiki wa Yanga.#manara #hajimanara #manaratv #mayele #yangasc #ligikuu #tff #hersi #michezo #burudani #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ambaye aliuzwa na Klabu yake kwenda kuichezea Klabu ya Pyramida ya Misri amefunguka yote ambayo yanamsibu katika sakata lake linaloendelea kufukuta mtandaoni.#mayele #yangasc #afcon2023 #usajili #simbasc #ahmedally #alikamwe #azamfc #azamtv #michezo #burudani Endele Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia