Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo Novemba 17, 2021 Mpenja TV tupo Mwanza Mjini kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mchezo wa Ruvu Shooting dhidi ya Simba Sports Club Utakaopigwa Ijumaa hii. . Alwatan Abdulaziz Kipanduka Wa Mpenja TV amezungumza na Ofisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire kuelekea Mchezo huo. . Bwire amefunguka mengi sana kwenye mahojiano haya ilkiwemo kuwakaribisha Mashabiki wa Yanga kwenye mchezo huo. . Fungua video hii kutazama mahojiano haya kwa undani. #NBCPremierLeague #MasauBwire #Simbasc #RuvuShooting #MpenjaTv
Katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Madagascar na Tanzania uliochezwa Jumapili ya Novemba 14, 2021, nafasi ya Golikipa katika kikosi cha Taifa Stars kilichoanza, alikuwa Metacha Mnata ‘Double M’, ambaye alichukua nafasi ya golikipa namba moja Aishi Manula ambaye alidaiwa kuwa na Corona na Mamlaka za nchi ya Madagascar. Metacha alionesha kiwango bora sana na sisi Mpenja TV tumemsaka atueleze nini siri ya kiwango bora namna ile? Metacha pia amemsifu sana Golikipa wa sasa wa Yanga, Djigui Diarra. #MetachaMnata #TaifaStars #DjiguiDiarra #AishiManula #MpenjaTV
Muhamisishaji na Shabiki kindakindaki wa timu ya taifa ya Tanzania Bongo zozo amefunguka baada ya kurejea nchini wakitokea madagascar walipoenda kuisapoti timu ya taifa ambayo ilikua ikikamilisha ratiba katika kundi dhidi ya madagascar mchezo ambao ulimalizika kwa bao 1-1..... #BongoZozo #Taifastars #MpenjaTv
Kikosi cha taifa stars kimerejea usiku wa leo kikitokea nchini madagascar baada ya kukamilisha ratiba mechi ya mwishio kwenye makundi dhidi ya madagascar kwa kumalizika kwa sare ya goli moja kwa moja... #samatta #mbwanasamatta #taifastars #Sokalaafrika #MpenjaTV
FRED VUNJA BEI ATOA UFAFANUZI SAKATA LA JEZI ZA SIMBA KUTENGENEZWA NA GSM/TUNAHUJUMIWA/AMETUKOSEA... Mpenja Tv tumefanya Mahojiano na Mtengenezaji na Msambazaji wa jezi za klabu ya Simba, Fred Vunja Bei, ambaye ametoa ufafanuzi juu ya jezi za Simba ambazo zinasambaa mitandaoni zikiwa na maneno ya Yanga na GSM. Pia ameongelea suala la upatikani wa jezi kwa sasa baada ya baadhi ya mashabiki kulalamika kukosa jezi wanazozihitaji madukani... #SimbaSC #JeziZaSimba #FredVunjaBei #MpenjaTV
MORRISON AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SIMBA SC, "TUMEWAANGUSHA" . Mpenja tv ipo uwanja wa Benjamin Mkapa kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mchezo wa duru la tano la ligi kuu ya NBC ambapo mnyama Simba anamkaribisha Namungo kutoka Ruangwa mkoani Lindi. Fungua video hii ili kupata undani wa habari hii #simbasc #Namungofc #MpenjaTV
Malkia wa Mpenja TV, Jane Joseph Kishai, amefanya mahojiano maalumu na kocha msaidizi wa Azam FC, Bahati Vivier, baada ya timu yao kushinda 1-0 dhidi ya Geita Gold FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa Novemba 2, 2021, uwanja wa Azam Complex, Chamazi. #NBCPremierLeague #AzamFC #GeitaGoldFC #JaneKishai #MpenjaTV
Baada ya Azam FC kushinda 1-0 dhidi ya Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa Novemba 2, 2021 uwanja wa Azam Complex, Chamazi, #MpenjaTV tumefanya mahojiano na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Chumwi Zakaria. #AzamfcVsGeitaGoldFC #ThabitZakaria #JaneKishai #MpenjaTV
Mchambuzi wa Azam Tv James Samuel amewachambua Wapinzani wa Simba na Yanga kimataifa ambao ni Al Hilal ya Sudan ...
Mpenja TV tumekuletea mahojiano na makocha pamoja na mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ...
Mpenja TV tumekuletea mahojiano na makocha pamoja na mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ...
Leo ndiyo leoo, Siku iliyosubiriwa kwa hamu imewadia. . Ni hapa hapa Establdio de Benjamin Mkapa kunako Mbungi la Mnyama ...
Mpenja TV tumekuletea mahojiano na makocha pamoja na mashabiki baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya Mabingwa ...
Timu ya Nyasa Big Bullets ya Malawi imetua nchini leo Septemba 16 kujiandaa kukabiliana na Simba Sc katika mchezo wao wa ...
Mchambuzi wa Soka kutokea Azam Tv, Gharib Mzinga ameeleza Mtazamo wake kuelekea Michezo ya Marudiano ya Ligi ya ...
Muigizaji wa Filamu za Vichekesho na Mdau wa Soka Nchini, Maulid Ally 'Mau Fundi' ametoa Maoni yake kuhusu Michezo Miwili ...