BAADA YA KIPIGO CHA YANGA SASA AZAM FC WAPATA UFUNGUO WA KUSHUSHA VIPONDO/MSIKIE KOCHA AKIFUNGUKA
BAADA YA KIPIGO CHA YANGA SASA AZAM FC WAPATA UFUNGUO WA KUSHUSHA VIPONDO/MSIKIE KOCHA AKIFUNGUKA

Malkia wa Mpenja TV, Jane Joseph Kishai, amefanya mahojiano maalumu na kocha msaidizi wa Azam FC, Bahati Vivier, baada ya timu yao kushinda 1-0 dhidi ya Geita Gold FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa Novemba 2, 2021, uwanja wa Azam Complex, Chamazi. #NBCPremierLeague #AzamFC #GeitaGoldFC #JaneKishai #MpenjaTV



SIKIA CHECHE ZA ZAKA ZAKAZI BAADA YA AZAM FC KUWALAZA NA VIATU GEITA GOLD FC/CHAMAZI KUNANOGA
SIKIA CHECHE ZA ZAKA ZAKAZI BAADA YA AZAM FC KUWALAZA NA VIATU GEITA GOLD FC/CHAMAZI KUNANOGA

Baada ya Azam FC kushinda 1-0 dhidi ya Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa Novemba 2, 2021 uwanja wa Azam Complex, Chamazi, #MpenjaTV tumefanya mahojiano na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Chumwi Zakaria. #AzamfcVsGeitaGoldFC #ThabitZakaria #JaneKishai #MpenjaTV





Popular Tags

#Paul George  #Gareth Bale  #Zlatan Ibrahimovi  #Kawhi Leonard  #Best Ball Controls  #Shot Goals  #Sergio Aguero  #Best Goalkeeper Saves  #Counter Attack Goals Football  #Football Skills  

Popular Users

#jimmyfallon  #nytimes  #instagram  #Oprah  #YouTube  #realmadrid  #si_vault  #BadgerMBB  #ArianFoster  #alexmorgan13  #TheCUTCH22  #StephenCurry30  #PMOIndia  #kobebryant  #JasonDufner