🚨uchambuzi cloudsfm,kiufundi simba wanautaka ubingwa, FVS inatenda haki, kocha baker ni balaa #cloudsfm #efm #simbasc #simbasctanzania #usajilimpyawasimba #usajiliyangaleo #yangasc #mpenjatv #uchambuzi #yangatv
#africanfootball #africansoccer #football #simba #simbasc #simbavsyanga #sports #yanga #yangasc #youngafricans
#simbasc #simbafans #TFF #CAF #yangasc #michezo #GSM #NBCPremierLeague #SPORTPESA #Feitoto #liveshow #trendingpost #livestreaming #datasports
Simba SC imepindua meza na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam, ukiwa ni ushindi wake wa 11 mfululizo kwenye ligi msimu huu... Wenyeji JKT Tanzania ndio waliotangulia kupata bao dakika ya 10 kupitia kwa Said Mkopi, lakini Simba wakajibu kwa mabao ya Elie Mpanzu na Libase Gueye. Tazama highlights....
SIMBA HII KUFUNGWA NBCPL MSIMU HUU SAHAU KABISA 🤪. Simba inashinda mchezo wa 11 mfululizo ndani ya Ligi Kuu ya NBC. #SimbaSC #ligikuutanzaniabara #mpekeo_mtandala