Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

KIMEUMANA! THOBIAS KIFARU MSEMAJI MTIBWA USO KWA USO NA ZAKA ZAKAZI BAADA YA KIPIGO/WASIKIE HAPA
KIMEUMANA! THOBIAS KIFARU MSEMAJI MTIBWA USO KWA USO NA ZAKA ZAKAZI BAADA YA KIPIGO/WASIKIE HAPA

Baaada ya kutamatika mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati Azam Fc na Mtibwa Sugar na Azam Fc kuibuka na Ushindi wa Goli moja kwa bila lilifungwa na Idris Mbombo Mpenja Tv tukapata nafasi ya kuzungumza na Msemaji wa Klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru na Msemaji wa Azam Fc Zakazakazi Fuatilia mahojiano yote hapa kujua alichoongea Thobias Kifaru na Zakazakazi #AzamFc #MtibwaSugar #AzamFcVsMtibwaSugar #LigikuuyaNBC

KIMEUMANA! CHEKI PRESHA YA OMOG NA LWANDAMINA MECHI IKIENDELEA UTACHEKA/KOSA KOSA ZAWAVURUGA
KIMEUMANA! CHEKI PRESHA YA OMOG NA LWANDAMINA MECHI IKIENDELEA UTACHEKA/KOSA KOSA ZAWAVURUGA

Mpenja TV leo novemba 30 2021 tupo uwanja wa Chamazi Complex kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Azam Fc dhidi ya Mtibwa sugar. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii. . #azamfc #mtibwasugar #mpenjaTv #NBCpremierleague

YANGA YATOA TAMKO BEI YA MUKOKO NA FEISAL KWENDA GEITA GOLD/WACHEZAJI  WANATAKA KUJA YANGA
YANGA YATOA TAMKO BEI YA MUKOKO NA FEISAL KWENDA GEITA GOLD/WACHEZAJI WANATAKA KUJA YANGA

Mpenja TV leo Novemba 22, 2021 imefanya mahojiano maalumu na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Hassan Bumbuli, ambaye amezungumzia mambo mbalimbali. Bumbuli pia amejibu kuhusu taarifa ya Ofisa Habari wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo, anayedai wametuma barua Yanga wakiomba kujua bei ya kuwanunua baadhi ya wachezaji, Feisal Salum na Mukoko Tonombe. Fuatilia mahojiano haya yakifanywa na Alwatan Abdulazi. #YangaSC #HassanBumbuli #FeisalSalum #MukokoTonombe #MpenjaTV

KICHUYA AWAKA "NIKISEMA TUMEONEWA NITAFUNGIWA MECHI, YANGA TULIWABANA KILA SEHEMU..."
KICHUYA AWAKA "NIKISEMA TUMEONEWA NITAFUNGIWA MECHI, YANGA TULIWABANA KILA SEHEMU..."

KICHUYA AWAKA "NIKISEMA TUMEONEWA NITAFUNGIWA MECHI, YANGA TULIWABANA KILA SEHEMU..." 🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV

HALI YA MASHABIKI WA SIMBA ILIVYOKUWA BAADA YA ERASTO NYONI KUPIGA PENATI NA KUKOSA
HALI YA MASHABIKI WA SIMBA ILIVYOKUWA BAADA YA ERASTO NYONI KUPIGA PENATI NA KUKOSA

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3.

KOCHA WA SIMBA PABLO FRANCO ALIVYOONDOKA UWANJANI/MASHABIKI WAIBUA SHANGWE BALAA..
KOCHA WA SIMBA PABLO FRANCO ALIVYOONDOKA UWANJANI/MASHABIKI WAIBUA SHANGWE BALAA..

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #kochasimba #Pablofranco #MpenjaTv

IDDY KIDEDEA: MTANGAZAJI WA MECHI YA RUVU SHOOTING NA SIMBA AVULIA KOFIA GOLI LA KIBU DENIS
IDDY KIDEDEA: MTANGAZAJI WA MECHI YA RUVU SHOOTING NA SIMBA AVULIA KOFIA GOLI LA KIBU DENIS

Mchezo wa ligi kuu ya NBC Umemalizika katika uwanja wa CCM Kirumba Ruvu shooting dhidi ya Simba na matokea mpaka dakika tisini Ruvu Shooting 1 vs Simba 3. Mpenja Tv tukapata muda wa kuzungumza na Mtangazaji wa mechi yanyewe Iddy Kidedea amefunguka hayaa.... #MasauBwire #Ruvushooting #Simbasc #MpenjaTv

🔴#LIVE: RUVU SHOOTING VS SIMBA SC HALI ILIVYO NDANI YA UWANJA/MASHABIKI WAFURIKA..
🔴#LIVE: RUVU SHOOTING VS SIMBA SC HALI ILIVYO NDANI YA UWANJA/MASHABIKI WAFURIKA..

Leo Novemba 19 2021 Mpenja Tv tupo uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mchezo wa ligi ya NBC kati ya Ruvu Shooting na Simba Sc Fungua Video hii kupata Utamu wote.... #Ruvushooting #MasauBwire #Simbasc #MpenjaTV

Highlights

MZEE WA PASI MILION "TUMECHEZA PIRA KARAFUU LA ZANZIBAR/ PASI MILION KUMI/HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA
MZEE WA PASI MILION "TUMECHEZA PIRA KARAFUU LA ZANZIBAR/ PASI MILION KUMI/HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA

Leo Tarehe 2/10/2022 Simba Sc wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Walima Zabibu Dodoma Jiji, kwenye ...

KAY MZIWANDA: OGOPA SANA SIMBA IKIVUKA MAJI/ "MTU KAPIGWA KAMA NGOMA/YANGA WANAKUFA MAPEMA TAREHE 8"

MSEMAJI DODOMA JIJI AIKANA KAULI YAKE YA KUJIUZULU KAZI/ SAFU YA USHAMBULIAJI HAIPO SAWA

AHMED ALLY: SIMBA HAINA TATIZO ENEO LA KIUNGO MKABAJI "WALISEMA NATOA HELA ZANGU MFUKONI KUSAJILI"

YANGA,SIMBA NA AZAM ZITAFANYA VIZURI KIMATAIFA/ BINGWA NI AZAM FC
YANGA,SIMBA NA AZAM ZITAFANYA VIZURI KIMATAIFA/ BINGWA NI AZAM FC

Tazama hapa mahojiano na Makocha,Wachezaji, Ofisa habari na Wachambuzi wakitoa tathmini kuhusu mchezo wa ligi kuu Kati ...

AL HILAL NI KUBWA KULIKO YANGA?/ALI KAMWE NI MTU HASWAA/ AZAM WANAJISAHAU SANA

KINYONGE!! TUMENYIMWA PENATI KOCHA AZAM FC AFUNGUKA BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO DHIDI YA PRISONS

AHMED ALLY AKUTANA NA MABIBI WASHABIKI WA SIMBA SC WALIOTRENDI UWANJA WA MKAPA SIMBA VS BIG BULLETS.
AHMED ALLY AKUTANA NA MABIBI WASHABIKI WA SIMBA SC WALIOTRENDI UWANJA WA MKAPA SIMBA VS BIG BULLETS.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc,Ahmed Ally amewatembelea Mashabiki wa Simba Sc Bi Khalima pamoja na Bi ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports