METACHA MNATA AMVULIA KOFIA DJIGUI DIARA WA YANGA/ATOA SIRI SA KUFANYA VIZURI TAIFA STARS by @Mpenja TV - Post Details

METACHA MNATA AMVULIA KOFIA DJIGUI DIARA WA YANGA/ATOA SIRI SA KUFANYA VIZURI TAIFA STARS

Katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Madagascar na Tanzania uliochezwa Jumapili ya Novemba 14, 2021, nafasi ya Golikipa katika kikosi cha Taifa Stars kilichoanza, alikuwa Metacha Mnata ‘Double M’, ambaye alichukua nafasi ya golikipa namba moja Aishi Manula ambaye alidaiwa kuwa na Corona na Mamlaka za nchi ya Madagascar. Metacha alionesha kiwango bora sana na sisi Mpenja TV tumemsaka atueleze nini siri ya kiwango bora namna ile? Metacha pia amemsifu sana Golikipa wa sasa wa Yanga, Djigui Diarra. #MetachaMnata #TaifaStars #DjiguiDiarra #AishiManula #MpenjaTV

Similar Posts!