Content removal request!


MBWANA SAMATTA AKERWA NA FIGISU ZA MADAGASCAR/TULIFANYIWA MCHEZO MCHAFU/WAMETURUHUSU KUONDOKA...

Kikosi cha taifa stars kimerejea usiku wa leo kikitokea nchini madagascar baada ya kukamilisha ratiba mechi ya mwishio kwenye makundi dhidi ya madagascar kwa kumalizika kwa sare ya goli moja kwa moja... #samatta #mbwanasamatta #taifastars #Sokalaafrika #MpenjaTV