Content removal request!


MORRISON AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SIMBA SC, "TULIWAANGUSHA"

MORRISON AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SIMBA SC, "TUMEWAANGUSHA" . Mpenja tv ipo uwanja wa Benjamin Mkapa kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mchezo wa duru la tano la ligi kuu ya NBC ambapo mnyama Simba anamkaribisha Namungo kutoka Ruangwa mkoani Lindi. Fungua video hii ili kupata undani wa habari hii #simbasc #Namungofc #MpenjaTV