Dar24 Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"
AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"

“Simba SC tunaweza kuifunga, Lakini nadhani kitu kinachotufanya tuwe na wasiwasi ni uwepo wa Kocha Benchikha (Abdelhak), nadhani mnafahamu ubora wake kwa sasa na namna anavyojua kusimama na mbinu zake,” “Nipo hapa kuhakikisha timu inapata wakati mzuri wa mechi hii ya Ijumaa (Machi 29), tunaamini makocha wetu watakuja na mpango mzuri wa kupata matokeo mazuri, hatujawahi kupata ushindi hapa Kwa Mkapa tukicheza na Simba SC, hili ni eneo lingine ambalo linatufanya tuwe makini na mechi hii." “Sina wasiwasi na kikosi chetu tutacheza kwa ubora wetu kupata matokeo mazuri ambayo yatatupa wepesi kabla ya mechi ya marudiano kule Cairo, tunataka kutetea ubingwa wetu msimu huu,” -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally

FEI TOTO AWAPA MANENO MAZITO YANGA/AMTAJA SURE BOY/KUMBE MAMA YAKE ALIMUAMBIA HAYA...
FEI TOTO AWAPA MANENO MAZITO YANGA/AMTAJA SURE BOY/KUMBE MAMA YAKE ALIMUAMBIA HAYA...

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Dar24 #Dar24Media

AL AHLY WAIPELEKA SIMBA ZANZIBAR/ MIZANI YAKATAA/ JEURI YAMPANDA BENCHIKHA/ "NAIONA NUSU FAINALI"
AL AHLY WAIPELEKA SIMBA ZANZIBAR/ MIZANI YAKATAA/ JEURI YAMPANDA BENCHIKHA/ "NAIONA NUSU FAINALI"

"Ahly wanajua kuwa wanakwenda kukutana na mpinzani mgumu kwa kiasi gani na Simba SC itakwenda kupigania nafasi ya kwenda Nusu Fainali na sio kuhofia hadhi yao. Tunatakiwa kujipanga kwenda kuthibitisha kwa nini tupo kwenye klabu kumi bora Afrika kwa kushindana na klabu namba moja na bila hofu kila kitu kinawezekana," -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally

MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA
MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA

Habari zinaeleza kuwa Uongozi wa Simba SC umefanya uchunguzi na kuona kuna kikundi cha mastaa watatu ambapo kama wakikimaliza, basi makocha na timu nzima itafanya kazi kwa sauti na kwa nguvu moja kama ilivyo kauli mbiu yao. Mastaa hao ambao wanaipasua kichwa Simba SC ni Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo nje ya kikosi baada ya kusimamishwa akidaiwa kukwaruzana na mmoja wa makocha wa timu hiyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #chama #miquissone #simbasc

Highlights

CHAMA ACHOSHWA SIMBA!/ AFUNGUKA YANAYOTAMANISHA/ AMTAJA ONANA, MIQUISSONE/ "BASI INATOSHA..!"
CHAMA ACHOSHWA SIMBA!/ AFUNGUKA YANAYOTAMANISHA/ AMTAJA ONANA, MIQUISSONE/ "BASI INATOSHA..!"

Lengo ni kuhakikisha tunamaliza msimu tukiwa na mataji muhimu, ambayo yataturejesha kwenye ushindani hasa kimataifa ...

YANGA ILIJIFELISHA!/ MBINU MBOVU/ NABI ALISHINDWA/ “KUNA SHUGHULI NZITO ALGERIA”/ “SIJUI ITAKUWAJE”
YANGA ILIJIFELISHA!/ MBINU MBOVU/ NABI ALISHINDWA/ “KUNA SHUGHULI NZITO ALGERIA”/ “SIJUI ITAKUWAJE”

Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja ...

JAMES SAMWEL: MARUMO GALLANTS WATAIFUNGA YANGA 'SAUZI'/JE WATAFUZU ?/UKWELI HUU HAPA

MCHEZAJI RIVERS UNITED ABAKI BONGO/NABI ANAMTAKA ?/AFUNGUKA ALICHOONGEA NAE/"AZIZI KI ANAJUA"

ROBERTINHO AKALIA KUTI KAVU SIMBA? /HAPA NDIPO WALIPOKOSEA KWA WYDAD CASABLANCA/ CHAMA ATAJWA

WACHEZAJI VIPERS, HOROYA KUTUA SIMBA/ KOCHA AMALIZA KAZI/ KUKUTANA NA MO DEWJI/ GOMES NAYE YUMO?

Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports