Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amezungumza namna Timu inavyoendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Merrikh ya Sudan,utakaochezwa Sept 16,2023 Uwanja wa Pele Kigali Rwanda. Kamwe amesema yapo Mabasi 24 kutoka Mikoa mbalimbali yatakayopeleka Mashabiki wa Yanga Rwanda,yakiwemo Mabasi ya Viongozi ambayo hadi sasa mawili yameshajaa,Basi la Rais wa Timu Eng. Hersi Said na Makamu wake Arafat Ally Haji.

ALLY KAMWE AMPA ZA USO MASAU BWIRE/"KUNA MTU ATAKULA GOLI KUMI/AMTAJA PACOME/SKUDU

Leo tarehe 29 Agosti katika dimba la Azam Complex Chamazi inapigwa mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara kati ya mwenyeji Yanga dhidi JKT Tanzania majira ya saa 1 usiku Mpenja Tv tupo Chamazi kuhakikisha unayapata matukio yote muhimu kuhusiana na mechi hii

ALLY KAMWE AMWAGIKA/"BAADA YA MAX DAY ITAKUJA PACOME DAY AU KI DAY/AHMED ALLY AMENITAFUTA/CHOMEKEA

Leo 26 Agosti,Yanga SC ikiwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex Chamazi inamkaribisha ASAS kutoka Djibouti kwenye Mechi ya Marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na Faida ya Bao 2 walizopata kwenye Mechi ya kwanza . Mpenja Tv tuko Mubashara kutokea Azam Complex hapa Chamazi kwaajili ya kukuhabarisha kila tukio linalojiri..

ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"

Leo Agosti 23 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga Sc inamkaribisha KMC Fc Majira ya Saa 1:00 Usiku. Mpenja Tv tayari tumetia Timu kwaajili ya kukuletea Matukio yote kuhusu Mechi hiyo…

KIZIMKAZI YAWAKUTANISHA ALLY KAMWE NA AHMED ALLY/WATUPIANA VIJEMBE KWENYE BOTI/ZANZIBAR TUNAKUJA

Leo Tarehe 22 Agosti Mpenja Tv imeanza safari kuelekea Kisiwani Zanzibar kwaajili ya Tukio la ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi linalofanyika kuanzia Tarehe 25 Kwenye Safari hii imewakutanisha Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc pamoja na Yanga Sc Ahmed Ally pamoja na Ally Kamwe

ALLY KAMWE AMPA JINA JIPYA PACOME/"PROFESA WA MPIRA/UKUTA WETU HAUTIKISIKI/POLENI SANA AZAM FC"

Leo Tarehe 20 Agosti,Simba Sc ikiwa Nyumbani inamkaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam Majira ya Saa 10:00 Jioni ikiwa ni Ligi Kuu ya NBC. Mpenja Tv tayari tuko Mubashara kukuletea Mfululizo wa Mechi hiyo…

ALLY KAMWE AMLIPUA FABRICE NGOMA/"MAX SIJUI ANACHEZA NAMBA NGAPI/AUCHO KIBOKO YAKE/CHAMAZI KITAWAKA"

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango na Mikakati yao kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS ya Djibouti,utakaochezwa August 20,2023 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa 11 jioni.

HASHEEM IBWE AWAPONGEZA SIMBA/AWAVAA MASHABIKI WA YANGA WALIOMZOMEA FEITOTO/"ANAPENDA SANA KUZOMEWA"

Leo August 13 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya Fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kati ya Yanga SC na Simba SC,Saa Moja Usiku. Huku majira ya Saa 9 Alasiri ukupigwa Mchezo wa Kutafuta Mshindi wa 3 kati ya Azam FC dhidi ya Singida Fountain Gate FC Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.

Highlights

BARAKA MPENJA: GOLI LA SAKHO, NIMESUUZIKA/GOLI BORA LA AFRICA LINAFUNGWA LIGI KUU/JIPYA AU MARUDIO

Leo ndio Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Vita ya Alama kati ya Simba Sc dhidi ya Singida Big Stars Majira ya Saa ...

MASHABIKI SIMBA: "ALIYEMLETA SAWADOGO PEPONI MOJA KWA MOJA/MUDA WOWOTE TUNACHUKUA UBIGWA"

KOCHA SINGIDA BIG STARS KINYONGE/"WACHEZAJI WANGU WAMENIANGUSHA/HATUJACHEZA VIZURI"

KOCHA WA SIMBA AMPIGIA SALUTI CHAMA/SAIDO/MZAMIRU/"MASHABIKI WALINITUMIA UJUMBE NILIPOKUWA BRAZIL"

KAYMZIWANDA APAGAWA NA GOLI LA SAKHO, HII NI ZAWADI TOSHA YA VALENTINE/WANAONGOZA LIGI HAWANA FURAHA

SIMBA SC WAWASILI KWA MBWEMBWE KWA MKAPA/TUMEKUJA KULIPA KISASI/SIKU YA KUFURAHI WANA SIMBA...

EEEH! VITUKO VYA MAMA BOKO KWA MKAPA/USHINDI UNAWEZA USIWE WA KISHINDO SANA/KOCHA WETU YUPO VIZURI..

MAPEMA TU KWA MKAPA!!! MASHABIKI WAMIMINIKA KUSHUHUDIA SIMBA SC VS SINGIDA BS/NI FURAHI DAY...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports