SIMBA WATUA KIBABE UWANJA WA NDEGE/KIKOSI KAMILI KIPO/ONANA, KRAMO WAMO KUNDINI. by @Mpenja TV - Post Details

SIMBA WATUA KIBABE UWANJA WA NDEGE/KIKOSI KAMILI KIPO/ONANA, KRAMO WAMO KUNDINI.

Kikosi cha Simba Kimetua Tanzania kutokea Uturuki walipokita Kambi ya maandalizi ya Msimu mpya. Kikosi hicho kimeongozwa na Kocha Robertinho pamoja na baadhi ya Viongozi akiwemo Mratibu wa Timu Abbas Ally.

Similar Posts!