ALLY KAMWE AWEKA WAZI HATIMA YA MAYELE/UWANJA KUTOKUJAA TATIZO SIO KIINGILIO/TUMEPATA MAPATO MAKUBWA by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE AWEKA WAZI HATIMA YA MAYELE/UWANJA KUTOKUJAA TATIZO SIO KIINGILIO/TUMEPATA MAPATO MAKUBWA

Mpenja Tv tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Shaban Kamwe baada ya Kumalizika kwa Tamasha la Wiki ya Mwananchi ambalo lilifanyika Siku ya Jana Julai 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa wao kama Klabu ni kwa kiasi gani wamefanikisha malengo ambayo walijiwekea....

Similar Posts!