SHABIKI AZAM FC AMWAGA MACHOZI KISA AZIZ KI/"NILIZIMIA KUAMKA NAKUTA 2-0/TUNAUMIA SANA MASHABIKI" by @Mpenja TV - Post Details
SHABIKI AZAM FC AMWAGA MACHOZI KISA AZIZ KI/"NILIZIMIA KUAMKA NAKUTA 2-0/TUNAUMIA SANA MASHABIKI"
Leo August 9 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya nusu fainali ya kwanza ya ngao ya jamii 2023 kati ya Yanga SC na Azam FC,Saa moja Usiku.
Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.