Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

MAPOVU YA AHMED ALLY"NYUMA MWIKO WAACHE KUMTUPIA MAJINI MAYELE/WAJIFUNZE KUACHANA VIZURI NA WACHEZAJ

Kikosi cha Simba SC,kimerejea Jijini Dar es salaam leo Februari 13,2024 kikitokea Jijini Mwanza baada ya kucheza michezo minne ya ligi kuu ya NBC katika Mikoa Mitatu,Februari 3 dhidi ya Mashujaa FC Kigoma,Februari 6 dhidi ya Tabora United, Tabora,Februari 9 dhidi ya Azam FC Mwanza na Februari 12 dhidi ya Geita Gold Mwanza. Kwenye Michezo hiyo Minne Simba SC imevuna Alama 10 kati ya 12,imemfunga Mashujaa FC 1-0,Ikamfunga Tabora United 4-0,Ikatoka Sare ya 1-1 na Azam FC na ikamfunga Geita Gold 1-0.

MASHUTI YA ALLY KAMWE "SASAHIVI AZAM NDIYO MSHINDANI WETU/KOLO NI SIMBA ZEE TU/AZIZ KI NDANI"

Leo Februari 10,2024 Klabu ya Yanga imefanya Wananchi Mbeya Jogging ikiwa ni Sherehe za maadhimisho ya miaka 89 ya Klabu hiyo,Zinazofanyika Jijini Mbeya. Pia wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya,Kitengo cha Wazazi na Magonjwa ya Wanawake Meta, kuwajulia hali Wagonjwa na kuwapatia Zawadi mbalimbali.

ALLY KAMWE:KILELENI KUNA BARIDI SANA/DODOMA WALITAKA KUHARIBU/MASHUJAA TUTAKUJA KUWAONYESHA CHAMAZI

Leo Februari 5,2024 Yanga SC inashuka Dimba la Azam Complex chamazi kumenyana na Dodoma Jiji FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC,Saa 1:00 Usiku.

''AHMED ALLY ''UNATAMBULISHA MCHEZAJI GIZANI KAMA UNAVUSHA MKE WA MTU/PA OMAR JOBE ATAFUNGA SANA

Leo Januari 31,2024 Simba SC inashuka Dimba la Azam Complex chamazi kumenyana na Tembo SC kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Saa 1:00 Usiku.

ALLY KAMWE"JOSEPH GUEDE TUTAMTAMBULISHA KESHO CHAMAZI/YANGA TUKIMJUA PACOME INATOSHA,WALIOKULA 5.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango yao na Maandalizi ya mchezo wa Januari 30,2024 wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Hausing FC ya Njombe,utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa moja usiku. Ally Kamwe amesema wataitumia siku hiyo ya mchezo kumtambulisha Mshambuliaji wao mpya Joseph Guede waliyemsajili Dirisha dogo.

GHARIB MZINGA"IBRA BACCA,TSHABALALA,DIARRA WAMEZIDI KUONYESHA UBORA WAO/SAMATTA ANAOGOPEWA/STARS

Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media ,Gharib Mzinga @gharib_23 ameeleza mtazamo wake kuhusu AFCON 2023. Pia amechambua kiundani michezo waliyocheza Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ya kundi F kwenye Michuano hiyo hadi kufikia Januari 24,2024 walipotolewa kwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya timu ya Taifa ya CONGO.

''ALLY KAMWE AJA NA MAPYA''YANGA ISIPOCHEZA WATU WANAUGUA MACHO/SIMBA WAMESAJILI WACHEZAJI WA ONLINE

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza hali ya Timu ilivyo,mipango yao kwenye Michezo ya ligi kuu iliyobaki pamoja na Usajili walioufanya kwenye Dirisha dogo

Highlights

YANGA VS REAL BAMAKO NI 50/50 YANGA ANAWEZA KUPATA POINT/VIPERS VS SIMBA NI KUFA AU KUPONA - KIDEDEA

Nyota Mtangazaji kutoka Azam Tv Idd Salum "kidedea" Ametupa maoni yake kueleka Michezo ya Kimataifa ambayo Simba na ...

KOCHA KAZE: "REAL BAMAKO NI TIMU NZURI/TUNAKWENDA KUPAMBANA KUPATA POINT 3 IKISHINDIKANA HATA 1"

Kikosi cha Mabingwa wa Kihistoria Tanzania Young Africans kimeanza safari ya kuelekea Nchini Mali kwenye Mchezo wa Kombe ...

YANGA WAIFUATA REAL BAMAKO USIKU MNENE/MUSONDA/MAMADOU DOUMBIA NDANI/KISINDA ATOA NENO/UBINGWA?

MZEE WA PASI MILIONI SIMBA HAFI MARA MBILI/KIBU NI KAMA SILAHA YA KIMAREKANI INAPIGA POPOTE

Februari 22/2023 Umeshuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Simba Sc Dhidi Ya Azam Fc Mchezo uliopigwa Uwanja wa ...

KAY MZIWANDA ALIA NA UONGOZI/SIYO SIMBA YA MIAKA MINNE ILIYOPITA/TUNATAKA USHINDI SASA..

KOCHA EDNA LEMA: "SIMBA HAWANA MSHAMBULIAJI KIONGOZI/MASHABIKI WASIMLAUMU BOCCO/KUNA TATIZO SIMBA"

Leo Februari 22/2023 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Simba Sc Dhidi Ya Azam Fc Mchezo Unaopigwa ...

ISSA AZAM AKATA TAMAA NA UBINGWA SIMBA SC/"UBINGWA UMEFIFIA/MTAANI HATUISHI KWA RAHA, TUNAZOMEWA"

SHABIKI AZAM FC AGOMA KUTOKA KWA MKAPA/"NIMESIKITIKA SANA/UBINGWA WETU NI KUMFUNGA SIMBA/TUMERIDHIKA

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports