Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kiundani mchezo wa Machi 17,2024 wa Ligi Kuu ya NBC PL kati ya Azam FC na Yanga SC, utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 2:15 usiku.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameungana na baadhi ya Mashabiki kutazama Droo ya robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika,inayochezeshwa Leo Machi 12,2024 Cairo Misri.
Leo Machi 6,2024 Mnyama Simba anashuka Dimba la Jamhuri Morogoro kumenyana na Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ,Saa 10:00 jioni.
Leo Machi 2,2024 Simba SC inaikaribisha Jwaneng Galaxy ya Botswana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi,Saa 1:00 usiku.
Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu mechi ya YANGA SC vs CR Belouizdad. Mzinga ndiye alitangaza mchezo huu ambayo Yanga wameshinda 4-0 na kufuzu Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kikosi cha Yanga SC kimefanya mazoezi yao ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo wa Februari 24,2024 wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad,Utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 1:00 jioni.
Leo Februari 20,2024 Yanga SC inaialika Polisi Tanzania Uwanja wa Azam Complex Chamazi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Saa 1:00 Jioni.
Leo Februari 17,2024 KMC FC inashuka Dimba la Jamhuri Morogoro kuikaribisha Yanga SC katika mchezo wa ligu kuu ya NBC,Saa 10:00 Jioni. Kaa karibu na Mpenja TV kupata taarifa zote za kabla na baada ya mchezo huo.
Mchambuzi wa Soka,Ramadhan Mbwaduke ' Mzee wa Data' Ameuchambua Mchezo wa Jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kati ya ...
Mchambuzi wa Soka,Ramadhan Mbwaduke ' Mzee wa Data' Ameeleza Mtazamo wake kuelekea Mchezo wa Kombe la Shirikisho ...
Simba SC wamerejea Nchini wakitokea Uganda baada ya Siku ya Jana kucheza Mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya ...
Simba SC wamerejea Nchini wakitokea Uganda baada ya Siku ya Jana kucheza Mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya ...
Mechi ya Ligi ya Mabingwa kati ya Vipers Vs Simba Sc imemalizika kwa Timu Mgeni Simba Sc Kupata Ushindi wa Goli 1-0 na ...
Mechi ya Ligi ya Mabingwa kati ya Vipers Vs Simba Sc imemalizika kwa Timu Mgeni Simba Sc Kupata Ushindi wa Goli 1-0 na ...
Kivumbi cha Ligi Kuu ya NBC kinaendelea na Hapo kesho kwenye Uwanja wa Chamazi Complex Majira ya Saa 1:00 Jioni Azam ...
Ramadhan Mbwaduke "Mzee wa Data" Ametupa tathmini yakinifu kuelekea Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya ...