Content removal request!


MAPOVU YA AHMED ALLY"NYUMA MWIKO WAACHE KUMTUPIA MAJINI MAYELE/WAJIFUNZE KUACHANA VIZURI NA WACHEZAJ

Kikosi cha Simba SC,kimerejea Jijini Dar es salaam leo Februari 13,2024 kikitokea Jijini Mwanza baada ya kucheza michezo minne ya ligi kuu ya NBC katika Mikoa Mitatu,Februari 3 dhidi ya Mashujaa FC Kigoma,Februari 6 dhidi ya Tabora United, Tabora,Februari 9 dhidi ya Azam FC Mwanza na Februari 12 dhidi ya Geita Gold Mwanza. Kwenye Michezo hiyo Minne Simba SC imevuna Alama 10 kati ya 12,imemfunga Mashujaa FC 1-0,Ikamfunga Tabora United 4-0,Ikatoka Sare ya 1-1 na Azam FC na ikamfunga Geita Gold 1-0.