Mtangazaji na Mchambuzi wa Soka kutoka Azam Media ,Gharib Mzinga @gharib_23 ameeleza mtazamo wake kuhusu AFCON 2023. Pia amechambua kiundani michezo waliyocheza Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ya kundi F kwenye Michuano hiyo hadi kufikia Januari 24,2024 walipotolewa kwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya timu ya Taifa ya CONGO.
Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.