Content removal request!


MASHUTI YA ALLY KAMWE "SASAHIVI AZAM NDIYO MSHINDANI WETU/KOLO NI SIMBA ZEE TU/AZIZ KI NDANI"

Leo Februari 10,2024 Klabu ya Yanga imefanya Wananchi Mbeya Jogging ikiwa ni Sherehe za maadhimisho ya miaka 89 ya Klabu hiyo,Zinazofanyika Jijini Mbeya. Pia wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya,Kitengo cha Wazazi na Magonjwa ya Wanawake Meta, kuwajulia hali Wagonjwa na kuwapatia Zawadi mbalimbali.