Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC,Jimmy Kindoki ameeleza furaha yake baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo na kuwaomba Mashabiki na Wanachama wa Yanga SC kumpa Ushirikiano ili aweze kutimiza Majukumu yake ipasavyo. Pia Jimmy Kindoki hakusita kummwagia sifa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Timu hiyo,Ally Kamwe kwa kusema anafanya kazi kubwa na nzuri. Vilevile amesema ana imani kubwa na Wachezaji wapya waliosajiliwa kwenye dirisha dogo.
Leo Januari 7,2024 katika Uwanja wa New Amaan Sports Complex inachezwa michezo miwili ya Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi,Saa 10:15 jioni KVZ FC dhidi ya Mlandege FC. Saa 2:15 usiku, Yanga SC dhidi ya APR FC.
Leo Januari 5,2024 katika Uwanja wa New Amaan Sports Complex inapigwa Michezo miwili ya Kombe la Mapinduzi 2024,Saa 10:15 jioni Jamhuri SC dhidi ya JAMUS FC Saa 2:15 usiku,Simba SC dhidi ya APR SC.
Mapinduzi Cup 2024 inaendelea leo Januari 3,2024 ,APR SC dhidi ya JKU SC Saa 10:15 usiku Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC,Saa 2:15 usiku
Leo Januari 2,2024 VITAL '0 FC inaialika Azam FC mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024,Saa 10:15 jioni. JAMUS dhidi ya Yanga SC, Saa 2:15 usiku
Kikosi cha Simba SC,kimefanya mazoezi katika Viwanja vya mazoezi vya Amaan kwa ajili ya mchezo wa Mapinduzi Cup dhidi ya JKU,Utakaochezwa Januari Mosi,2024 Uwanja wa New Amaan Sports Complex Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Yanga SC,kimefanya mazoezi katika Viwanja vya mazoezi vya Amaan kwa ajili ya mchezo wa Desemba 31,2023 dhidi ya Jamhuri,Utakaochezwa uwanja wa New Amaan Sports Complex Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Yanga SC kimerejea Dar es salaam kikitokea Jijini Dodoma baada ya kupata Ushindi dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, siku ya Disemba 24 katika Dimba la Jamhuri Meneja habari na Mawasiliano Ally Kamwe amezungumza mipango yao baada ya kurejea Dar es salaam kuelekea Michezo ya Mapinduzi Cup.
Leo Februari 22/2023 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Simba Sc Dhidi Ya Azam Fc Mchezo Unaopigwa ...

'Mzizima Derby' imefika ni Vita ya Simba Sc dhidi ya Azam Fc Uwanja wa Benjamin Mkapa Ligi Kuu ya NBC,Nani kuondoka Na ...
Mpenja Tv tumefanya Uchambuzi na Mwamuzi Mstaafu Osman Kazi Baadhi ya Matukio ambayo yamejitokeza kwenye Mchezo ...
Leo Februari 19 2023,Yanga SC anamkaribisha TP MAZEMBE kutoka DRC CONGO Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...
Leo Februari 19 2023,Yanga SC anamkaribisha TP MAZEMBE kutoka DRC CONGO Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...