Content removal request!


''ALLY KAMWE AJA NA MAPYA''YANGA ISIPOCHEZA WATU WANAUGUA MACHO/SIMBA WAMESAJILI WACHEZAJI WA ONLINE

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza hali ya Timu ilivyo,mipango yao kwenye Michezo ya ligi kuu iliyobaki pamoja na Usajili walioufanya kwenye Dirisha dogo