Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango yao na Maandalizi ya mchezo wa Januari 30,2024 wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Hausing FC ya Njombe,utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa moja usiku. Ally Kamwe amesema wataitumia siku hiyo ya mchezo kumtambulisha Mshambuliaji wao mpya Joseph Guede waliyemsajili Dirisha dogo.
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! 🌍 Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! 🔴 TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 📞 SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 📧 EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com