Leo Januari 31,2024 Simba SC inashuka Dimba la Azam Complex chamazi kumenyana na Tembo SC kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Saa 1:00 Usiku.
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.