Leo Tarehe 20 Agosti,Simba Sc ikiwa Nyumbani inamkaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam Majira ya Saa 10:00 Jioni ikiwa ni Ligi Kuu ya NBC. Mpenja Tv tayari tuko Mubashara kukuletea Mfululizo wa Mechi hiyo…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango na Mikakati yao kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS ya Djibouti,utakaochezwa August 20,2023 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa 11 jioni.
Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#
Kikosi cha Simba Kimetua Tanzania kutokea Uturuki walipokita Kambi ya maandalizi ya Msimu mpya. Kikosi hicho kimeongozwa na Kocha Robertinho pamoja na baadhi ya Viongozi akiwemo Mratibu wa Timu Abbas Ally.
Hatimaye Pyramids FC ya Misri imetangaza kumsajili Mshambuliaji FISTON MAYELE kutoka Yanga SC. Nayo Klabu ya Yanga imemuaga rasmi Mayele na kumshukuru kwa huduma yake ya miaka miwili.
Mpenja Tv tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Shaban Kamwe baada ya Kumalizika kwa Tamasha la Wiki ya Mwananchi ambalo lilifanyika Siku ya Jana Julai 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa wao kama Klabu ni kwa kiasi gani wamefanikisha malengo ambayo walijiwekea....
uelekea Uzinduzi wa Jezi Mpya za Simba kwa Msimu ujao wa 2023/24 Tumezungumza na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally na kutufahamisha shuhuli nzima itakavyokuwa siku ya Kesho Julai 19 wakati wa kukipandisha kibegi cha Jezi Mpya Juu ya Mlima Kilimanjaro