Content removal request!


ALLY KAMWE AMLIPUA FABRICE NGOMA/"MAX SIJUI ANACHEZA NAMBA NGAPI/AUCHO KIBOKO YAKE/CHAMAZI KITAWAKA"

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza mipango na Mikakati yao kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS ya Djibouti,utakaochezwa August 20,2023 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi,Saa 11 jioni.