MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI
MAZUNGUMZO YA MPENJA NA MZINGA;NILIFELI KIDATO CHA NNE/YANGA NA SIMBA ZINA UWEZO WA KUFIKA FAINALI

Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu Maisha yake ya nyuma lakini pia ikumbukwe leo ni kumbukizi ya kuzaliwa ya Mtangazaji machachari wa Soka Ghalibu Mzinga. Lakini pia Ghalibu mzinga ametoa mtazamo wake katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Yanga kuwa zinaweza kufika hatua ya fainali katika mashindano hayo.

ALLY KAMWE: TUNAKWENDA KUWAFANYA VIBAYA MAMELODI/SIMBA WANASAFISHA UWANJA/HATUJAWAHI KUSHINDWA...
ALLY KAMWE: TUNAKWENDA KUWAFANYA VIBAYA MAMELODI/SIMBA WANASAFISHA UWANJA/HATUJAWAHI KUSHINDWA...

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe aeleza namna ambavyo wamewapokea wapinzani wao Mamelodi Sundowns kwenye robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika na namna wanavyojipanga kumenyana nao Machi 30,2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa.

MZINGA"HAWA NDIO WACHEZAJI HATARI ZAIDI WA MAMELODI NA AL AHLY/SIMBA,YANGA WAJIPANGE/CHAMA,PACOME.
MZINGA"HAWA NDIO WACHEZAJI HATARI ZAIDI WA MAMELODI NA AL AHLY/SIMBA,YANGA WAJIPANGE/CHAMA,PACOME.

Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kuhusu wapinzani wa Yanga SC kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika Mamelodi Sundowns na Wapinzani wa Simba SC,Al Ahly.

MZINGA: KESHO NI DERBY YA FEI TOTO NA MUDATHIR/YANGA NA AZAM NI DABI YENYE MVUTO/MPIRA UTATEMBEA....
MZINGA: KESHO NI DERBY YA FEI TOTO NA MUDATHIR/YANGA NA AZAM NI DABI YENYE MVUTO/MPIRA UTATEMBEA....

Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kiundani mchezo wa Machi 17,2024 wa Ligi Kuu ya NBC PL kati ya Azam FC na Yanga SC, utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 2:15 usiku.

VAIBU LA AHMED ALLY NA VIONGOZI BAADA YA KUCHEZESHWA DROO YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
VAIBU LA AHMED ALLY NA VIONGOZI BAADA YA KUCHEZESHWA DROO YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameungana na baadhi ya Mashabiki kutazama Droo ya robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika,inayochezeshwa Leo Machi 12,2024 Cairo Misri.

MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA" TUNATAKA FORWARD/KAMA HAWANA HELA WATUAMBIE TUPITISHE HARAMBEE
MASHABIKI WA SIMBA WACHARUKA" TUNATAKA FORWARD/KAMA HAWANA HELA WATUAMBIE TUPITISHE HARAMBEE

Leo Machi 6,2024 Mnyama Simba anashuka Dimba la Jamhuri Morogoro kumenyana na Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ,Saa 10:00 jioni.

AHMED ALLY ATEMA CHECHE/UNAPOENDA VITANI USILETE MIPASHO/TUMEINGIA ROBO FAINALI KIBABE
AHMED ALLY ATEMA CHECHE/UNAPOENDA VITANI USILETE MIPASHO/TUMEINGIA ROBO FAINALI KIBABE

Leo Machi 2,2024 Simba SC inaikaribisha Jwaneng Galaxy ya Botswana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi,Saa 1:00 usiku.

MAZUNGUMZO YA MPENJA NA GHARIB MZINGA/PACOME/AZIZ KI/MUDATHIR/MUSONDA WANATISHA/YANGA HAISHIKIKI
MAZUNGUMZO YA MPENJA NA GHARIB MZINGA/PACOME/AZIZ KI/MUDATHIR/MUSONDA WANATISHA/YANGA HAISHIKIKI

Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu mechi ya YANGA SC vs CR Belouizdad. Mzinga ndiye alitangaza mchezo huu ambayo Yanga wameshinda 4-0 na kufuzu Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

« Previous Next »

Popular Tags

#Russell Westbrook  #Goal Celebrations  #Philadelphia 76ers  #Paul George  #Kawhi Leonard  #Mesut Ozil  #Lionel Messi  #Goalkeeper Saves  #Amazing Solo Goals  #Kevin Durant  

Popular Users

#RealSkipBayless  #NASA  #DeionSanders  #CP3  #MieshaTate  #ArianFoster  #MikePereira  #kevinlove  #SportsCenter  #JayBilas  #BrunoMars  #b_ryan9  #Cristiano