Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ameungana na baadhi ya Mashabiki kutazama Droo ya robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika,inayochezeshwa Leo Machi 12,2024 Cairo Misri.
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.