Content removal request!


MAZUNGUMZO YA MPENJA NA GHARIB MZINGA/PACOME/AZIZ KI/MUDATHIR/MUSONDA WANATISHA/YANGA HAISHIKIKI

Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu mechi ya YANGA SC vs CR Belouizdad. Mzinga ndiye alitangaza mchezo huu ambayo Yanga wameshinda 4-0 na kufuzu Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.